KAMATI YA ELIMU, AFYA NA MAJI
Kamati ya Elimu, Afya na Maji ni moja ya Kamati za kudumu za Halmashauri na hukutana kila Robo Mwaka isipokuwa pale penye uhitaji Maalum. Kamati hii hushughulikia masuala yote yanayohusu huduma za Elimu, Afya na Maji kwa Jamii na jitihada za Wananchi kujiletea Maendeleo yao kwa kutumia mbinu mbalimbali ikiwemo kushauri,kushawishi, kuzindua, kuelimisha na kushirikisha Wananchi hao hasa katika kutayarisha, kusimamia, kutekeleza na kutathmini mipango yao ya maendeleo .
Majukumu mengine ni;
Kuandaa mipango ya Maendeleo ya upanuzi na Ujenzi wa Hospitali, Zahanati, na Vituo vya Afya
Kuandaa mipango ya Maendeleo ya upanuzi wa Ujenzi wa Shule za Awali na Msingi na Elimu ya Watu wazima kwa mujibu wa Sheria ya Elimu ya 1978 kama ilivyorekebishwa Mwaka 1995
Kubuni na kusimamia mbinu na mikakati mbalimbali ya uendelezaji wa Sekta ya Elimu katika Halmashauri
WAJUMBE WA KAMATI YA ELIMU, AFYA NA MAJI KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018
NA
|
JINA |
KATA |
CHAMA |
1
|
MHE. ALAIS MUSHAO
|
MUNDARARA - MWENYEKITI
|
CCM
|
2
|
MHE. SABORE K. MOLLOIMET
|
SINYA - MWENYEKITI WA HALMASHAURI
|
CCM
|
3
|
MHE. DR STEPHEN KIRUSWA
|
MBUNGE
|
CCM
|
4
|
MHE. MIKE P. OLE MOKORO
|
NOONDOTO
|
CCM
|
5
|
MHE. BARNABAS RAPHAEL
|
LONGIDO
|
CHADEMA
|
6
|
MHE. JOPHA KAKANYI
|
VITI MAALUM – ENGARENAIBOR
|
CCM
|
7
|
MHE. SARA OLTETIA
|
VITI MAALUM – MUNDARARA
|
CCM
|
8
|
MHE. SHONGON MOLLEL
|
GELAI MERUGOI
|
CHADEMA
|
9
|
MHE. LEKISARISHO KISPAN
|
ENGIKARET
|
CCM
|
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM