Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido anapenda kuujulisha umma kuwa mchakato umekamilika wa kuchambua waombaji nafasi za Ajira ya muda kwa vijana watakao saidia katika ukusanyaji taarifa za Anwani za Makazi na Postikodi kwa kuzingatia maelekezo yaliyokuwa katika tangazo la ajira la tarehe 21.02.2022. Waombaji waliyo kidhi vigezo vya kusailiwa wameorodheshwa na kuambatishwa katika Tangazo pamoja na ratiba ya usaili.
BOFYA HAPA CHINI KUONA ORODHA MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI NA RATIBA YA USAILI....
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI LONGIDO DC.pdf
|
|
|
|
|
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM