Mkurugenzi Mtendaji anawatangazia wananchi wote wa Longido kuwa utoaji wa mkopo wa Halmashauri Kwa Wanawake,Vijana na Wenyeulemavu utafanyika hivi karibuni,Hivyo anawaomba wale wote wenye uhitaji wa Mkopo huo wajisajili kwenye mfumo wa TPLMIS kupitia mikopohalmashauri.tamisemi.go.tz
Kwa msaada zaidi waone maafisa Maendeleo ya Jamii waliopo kwenye Kata au fika Halmashauri kwenye ofisi za Maendeleo ya Jamii
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM