Wanafunzi wa shule ya sekondari Natron flamingo iliyopo km 90 kutoka makao mkuu ya Halmashauri leo tarehe 11/07/2021 wamepata chakula cha mchana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Dk. Jumaa Mhina aliyeambatana na afisa Elimu Sekondari Mwl Sombe, afisa Tarafa ya Kitumbeine, Mwenyekiti wa Bodi ya shule pamoja na Mwenyekiti wa kijiji.
DK. Mhina ametembelea shule hiyo kujionea maendeleo ya shule na kuongea na Wanafunzi.
Arusha- Namanga Road, Longido Town
Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha
Telephone: 027-2539603
Mobile: 0756395889
Email: ded@longidodc.go.tz
Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM