• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MKOA WA ARUSHA WAWEKA MIKAKATI YA KUPUNGUZA VIFO VYA AKINA MAMA NA WATOTO .

Posted on: May 8th, 2019

Mkuu wa Wilaya ya Longido Mhe. Frank James Mwaisumbe amewataka wadau wa sekta ya Afya ya akina mama na watoto mkoa wa Arusha kuhakikisha wanashiriki katika kumaliza vifo vya Uzazi wa akina mama na Watoto.

Ameyasema hayo mapema leo wakati akifungua kikao kazi  cha kujadili namna ya Kupunguza hata kumaliza kabisa vifo vya uzazi na watoto kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo(Ukumbi wa Nyerere), kitakachohusisha Halmashauri zote saba(7) za  Longido.Meru,Arusha vijijini, Jiji la Arusha, Karatu,Monduli na Ngorongoro za mkoa wa Arusha na kinatarijiwa kufanyika kwa muda wa siku tatu..

Mhe. Mwaisumbe amesema kuwa inasikitisha kuona Mkoa  kama Arusha kuwa miongoni mwa mikoa yenye tatizo hilo hapa nchini ukizingatia ni mkoa wenye watu wengi “Mkoa wa Arusha inasikitisha kuona unaongoza katika takwimu za vifo vya akina mama na watoto sijuhi ni wingi wa watu ama ni nini ila tunahitaji hatua za haraka” Mhe. Mwaisumbe.

Hata hivyo amefafanua serikali imekwisha liona hili na imekwishaanza utatuzi wa kujenga vituo vya Afya kuboresha hospitali za kawaida pamoja na za rufaa katika maeneo mbalimbali ya la Arusha ili kusogeza huduma karibu na wananchi na kumaliza kabisa tatizo hili.

Awali akitoa mwongozo wa yatakayojadiliwa mbele ya mkuu wa Wilaya na wadau Daktari mkuu wa Wilaya longido Dk. Justice Munisi  amebainisha kuwa takribani wakina mama 810 wana kufa kwa siku duniani na 90% ni kutoka katika jangwa la Sahara.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • WAZIRI WA MIFUGO AZINDUA CHANJO YA MIFUGO ,AWATAKA WAFUGAJI KUFUGA KISASA

    July 02, 2025
  • LONGIDO YAAGA MADIWANI WAKE KWA HESHIMA, YASIFIA UONGOZI WAO WA HEKIMA NA BUSARA

    June 20, 2025
  • LONGIDO YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    June 17, 2025
  • LONGIDO YATOA VIPAJI KUUNDA TIMU YA MKOA KWENYE MASHINDANO YA UMISSETA

    June 06, 2025
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM