• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Bodi ya Afya yamaliza muda wake wa kuhudumu

Posted on: March 31st, 2017

Wilaya ya Longido imepatiwa kiasi cha tani 40 za mbolea ya kupandia, tani 40 za mbolea ya kukuzi na tani 8 za mbegu za mahindi kwa ajili ya wakulima 800 katika mfumo wa pembejeo zenye ruzuku ya serikali katika msimu wa kilimo wa 2016/2017. Aidha, kikao cha Kamati ya Pembejeo ya Wilaya kilichoketi tarehe 16/01/ 2017 kilipitisha mgawo na kupanga bei elekezi za kuuza pembejeo hizo  katika vituo  ambavyo ni makao makuu ya kila Kata ambazo zitapatiwa pembejeo. Sambamba na hilo nawatambulisha kwako Mawakala Wiana Agrovet na Atau Agrovet ambao watahusika za usambazaji wa pembejeo katika Wilaya ya Longido kwa msimu wa kilimo wa 2016/2017. Mkuu wa Wilaya ya Longido Mhe Daniel Chongolo leo alikuwa mgeni rasmi katika Kikao Maalum cha kuvunja Bodi ya Afya ya Wilaya ya Longido ambayo imemaliza muda wake kwa mujibu wa Sheria baada ya kuhudumu kwa mika mitatu. Bodi hiyo iliyokuwa chini ya Uenyekiti wa Ndg Isack Ndekero iliundwa tarehe 18/04/2013 ikiwa na Wajumbe 11.

Mhe Chongolo akivunja Bodi hiyo aliipongeza kwa kuwa mstari wa mbele kupigania upatikanaji wa Huduma bora za Afya ndani ya Wilaya licha ya changamoto nyingi zilizopo ikiwemo changamoto za kimazingira, ukosefu wa vitendea kazi, upungufu wa watumishi wa Sekta ya Afya na ukosefu wa fedha kutosheleza mahitaji mbalimbali katika Sekta hiyo. Pamoja na hayo Bodi hiyo inajivunia mafanikio kadhaa ikiwemo kufanikiwa kuhamasisha Jamii kujiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii(CHF) ambapo wanachama waliongezeka kutoka 16% na kufikia 34% sawa ma Wanachama 8,412. Bodi pia ilihimiza Ujenzi wa Jengo la X-Ray katika Kituo cha Afya cha Longido ambao unaendelea, kupatikana kwa Huduma za Upasuaji katika Kituo cha Afya Longido na Enduimet, kuwa na mgawanyo mzuri wa Watumishi wa Sekta ya Afya katika Vituo vya Huduma, na Vituo vyote 26 vya kutoa Huduma za Afya kufungua Akaunti za Benki. Aidha Bodi iliweza kuhamasisha Wanawake kujifungulia kwenye Vituo vya Afya badala ya Wakunga wa Jadi, ufuatiliaji wa upatikanaji wa Madawa, na kufuatilia fedha za tele kwa tele ambapo mwezi Machi 2017 Halmashauri imepokea Tshs 33,985,000.

Mwenyekiti wa Bodi akizungumzia utendaji kazi wa Bodi hiyo alisema ilikabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa fedha pale ilipohitaji kufanya ziara mbalimbali ndani ya Wilaya, malalamiko ya Wananchi kuhusiana na ukosefu wa Dawa katika Vituo vya huduma za Afya, Watumishi kukaa kwenye kituo kimoja kwa muda mrefu, na upungufu wa watumishi wa Sekta ya Afya.

Tangazo la nafasi za Wajumbe wa Bodi ya Afya litatolewa hivi karibuni.



Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10% January 30, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • DED LONGIDO AFUNGUA MAFUNZO UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA

    May 14, 2025
  • MITUNGI 50 YATOLEWA KWA BABA NA MAMA LISHE WILAYANI LONGIDO

    April 17, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA WATOA ELIMU KUHUSU MPOX KATIKA SHULE YA SEKONDARI ENGARENAIBOR NA KETUMBEINE

    March 21, 2025
  • WWF NA BBC MEDIA ACTION WATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA JAMII JUU YA UHIFADHI WA MAZINGIRA

    March 21, 2025
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM