• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

CHAMA CHA USHIRIKA KIMANA NA UMOJA WA MADEREVA WA MAGARI YA NOAH WILAYA YA LONGIDO YATOA MAFUTA YA DIZEL LITA 250 KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI KUKABILIANA NA COVID-19

Posted on: April 17th, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Longido Mh. Frank Mwaisumbe leo tarehe 17.04 .2020 amepokea msaada wa mafuta ya diesel lita 250 yenyewe thamani ya Tshs 530,000/= kutoka kwa Chama cha Ushirika cha Usafirishaji  cha KIMANA na Umoja wa Madereva wa magari ya abiria aina ya Noah zinazofanya Safari kati ya Namanga na Arusha. Mafuta hayo yametolewa ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Serikali katika Wilaya ya Longido kukabiliana na kuenea kwa virusi vya COVID -19 na yatatumika kwa ajili ya kuwezesha utoaji wa Elimu kwa Umma zoezi litakaloendeshwa na Halmashauri ya Wilaya ya Longido.

 Akipokea msaada huo katika Ofisi za Mkuu wa Wilaya Longido Mhe Mwaisumbe aliupongeza umoja huo kwa kutambua juhudi za Serikali na kuwataka kuendelea kushirikiana na Serikali katika kuhakikisha janga la corona linatokomezwa. Alisema sekta ya usafirishaji ina jukumu muhimu ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wasafiri wananawa mikono kabla ya kupanda magari na kutoa taarifa kwa mamlaka husika pale watakapoona kuna mtu mwenye dalili za ugonjwa huo. Pia aliwataka kutoa ushirikiano kwa kuwaripoti kwenye mamlaka husika wasafiri ambao wanatumia njia zisizo rasmi katika mpaka wa Namanga kuingia Nchini bila kupimwa Afya zao hivyo kutishia kuongezeka kwa maambukizi na wahamiaji haramu. Pamoja na hayo Mhe Mwaisumbe alitoa wito kwa wadau wengine na wananchi kwa ujumla kuendelea kutoa michango kwa Mfuko wa Maafa wa Taifa ili kuwezesha Serikali kukabiliana na corona.



Makabidhiano hayo yalishuhudiwa na baadhi ya wajumbe wa KIMANA SACCOS wakiongozwa na Mwenyekiti wao Ndg Rashid Masoud na Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji iliwakilishwa na Ndg Edward Kasiga na Afisa Ushirika Ndg Gabriel Mambo

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10% January 30, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • DED LONGIDO AFUNGUA MAFUNZO UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA

    May 14, 2025
  • MITUNGI 50 YATOLEWA KWA BABA NA MAMA LISHE WILAYANI LONGIDO

    April 17, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA WATOA ELIMU KUHUSU MPOX KATIKA SHULE YA SEKONDARI ENGARENAIBOR NA KETUMBEINE

    March 21, 2025
  • WWF NA BBC MEDIA ACTION WATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA JAMII JUU YA UHIFADHI WA MAZINGIRA

    March 21, 2025
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM