• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DC LONGIDO ALIA NA WAZEE WANAO WAOZESHA WATOTO WADOGO WENYE UMRI WA KWENDA SHULE

Posted on: January 8th, 2024

Na happiness Nselu

Mheshimiwa Marco Henry Ng'umbi Mkuu wa Wilaya ya Longido amekemea tabia mbaya inayofanywa na baadhi ya watu hasa katika jamii ya wafugaji waishio Wilaya ya Longido ambao bado wanaendeleza mila mbaya na potofu ya kuwaoza watoto wadogo wenye umri wa kwenda shule,badala yake amewataka kuwa mstari wa mbele kuwasomesha na kuwapatia Elimu iliyo bora  ili watoto hao waweze kujitemgenezea msingi mzuri na Imara kwenye maisha yao ya baadae ikizingatiwa Elimu ndio msingi wa Maendeleo ya kila mmoja na jamii kwa ujumla.

Mheshimiwa Ng'umbi ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi kwenye Mnada /Soko la Ketumbeine alipokutana na wakazi wa kata hiyo ya Ketumbeine

Ikumbukwe Serikali inapiga vita sana ndoa za utotoni na sheria iko wazi kwa atakaebainika kufanya ama kutenda matendo hayo ya kikatili kwa watoto.

Jamii imeaswa kuwapeleka watoto wote waliofaulu kwenye shule husika bila kisingizio chochote ikiwemo ada. "Kwa yeyote atakaebainika kumuozesha mtoto mdogo mwenye umri wa kwenda shule nitawakamata na sheria itachukua mkondo wako nataka watoto wote waende shule kwa kuwa madarasa yapo,meza zipo, vitanda vipo, walimu wapo sioni sababu ya kutompeleka mtoto shule" Alisema Mkuu wa Wilaya

Shule zimefungukuwa rasmi tarehe 8/01/2024 wito kwa jamii ni kujitahidi kuwapeleka watoto kwa wakati ili waanze masomo yao kwa utulivu.



JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KAZI IENDELEE

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10% January 30, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • DED LONGIDO AFUNGUA MAFUNZO UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA

    May 14, 2025
  • MITUNGI 50 YATOLEWA KWA BABA NA MAMA LISHE WILAYANI LONGIDO

    April 17, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA WATOA ELIMU KUHUSU MPOX KATIKA SHULE YA SEKONDARI ENGARENAIBOR NA KETUMBEINE

    March 21, 2025
  • WWF NA BBC MEDIA ACTION WATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA JAMII JUU YA UHIFADHI WA MAZINGIRA

    March 21, 2025
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM