• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DC LONGIDO AZINDUA ZOEZI LA UMEZESHWAJI DAWA KINGA TIBA KWA WATOTO WENYE UMRI KUANZIA MIAKA MITANO HADI KUMI NA NNE WILAYANI LONGIDO

Posted on: February 29th, 2024

Akizindua zoezi Mheshimiwa Ng'umbi ameitaka jamii kuto kupuuza kwa baadhi ya  magonjwa na badala yake kuwa makini na magonjwa yote yanayoambukiza na yasio ambukiza.

Zoezi hili la umezeshwaji wa dawa za magonjwa ya Minyoo ya tumbo na kichocho linataraji kuwafikia watoto wasiopungua elfu 35,609 wa Wilaya ya Longido Kuanzia miaka mitano hadi 14. Zoezi linataraji kufanyika katika shule 70 za Wilaya ya Longido na vituo teule 9.

Mheshimiwa Ng'umbi amefungua zoezi hili leo tarehe 29/02 /2024 katika shule ya Msingi Longido ambapo watoto zaidi ya elfu elfu 1, 264 katika shule hiyo wamepatiwa dawa hizo kwa ajili ya Minyoo ya tumbo na Kichocho.

Mheshimiwa Ng'umbi amewataka wawezeshaji wa zoezi hilo la ugawaji wa dawa kuwafikia watoto wote waliopo katika kata zote na vitungoji vyake vilivyopo Wilayani Longido"Niwaombe wawezeshaji na waendashaji wa zoezi hili kuwafikia watoto wote hata wale waliopo majumbani ambao hawajaenda shule ili na wao wapatiwe tiba hii ya kujikinga na magonjwa hayo"Alisema Mheshimiwa Ng'umbi.

Zoezi la umezeshwaji wa dawa hizi za Kinga tiba ni zoezi la siku mbili Ambapo linataraji kufika ukomo tarehe 29/02/2024.

Jamii inaaswa kuhakikisha watoto wote wanapatiwa dawa hizo kwani  hazina madhara yoyote kwa watoto badala yake ni Kinga ya magonjwa hayo ya Minyoo ya tumbo na Kichocho.

Nae Daktari Mathew Majani ameishukuru Serikali ya awamu ya sita kupitia Wizara ya Afya kwa kushirikiana na wadau Kutoka RTI kwa kuwezesha upatikanaji wa dawa hizo za kinga Tiba.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10% January 30, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • DED LONGIDO AFUNGUA MAFUNZO UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA

    May 14, 2025
  • MITUNGI 50 YATOLEWA KWA BABA NA MAMA LISHE WILAYANI LONGIDO

    April 17, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA WATOA ELIMU KUHUSU MPOX KATIKA SHULE YA SEKONDARI ENGARENAIBOR NA KETUMBEINE

    March 21, 2025
  • WWF NA BBC MEDIA ACTION WATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA JAMII JUU YA UHIFADHI WA MAZINGIRA

    March 21, 2025
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM