• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu,Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijinii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Usafishaji na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Maliasili na Utalii
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Rasilimali Asili na Hifadhi ya Mazingira
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasili na uhifadhi wa mazingira
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Leseni
    • Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti UKIMWI
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

HALMASHAURI YAFANIKIWA KUDHIBITI UGONJWA WA KIMETA(ANTHROUX)

Posted on: March 8th, 2019

 Asilimia 95%  ya wananchi wa wilaya ya longido ni wafugaji wa ngombe ,mbuzi,kondoo na punda,mbwa,ngamia,kuku na nguruwe.

Idadi ya mifugo katika wilaya ya Longido ni Ng’ombe 216,575, Mbuzi 399,754, kondoo 301,211 na punda  7,14,Ngamia 240,mbwa 15,032 na Nguruwe 965.

Katika kuuthibiti ugonjwa wa kimeta(anthroux) ambao umebainika kuwepo mnamo tarehe 25/01.2019 baada ya kupokea taarifa ya kifo cha mwanafunzi wa darasa la tatu mwenye umri wa miaka 11 kilichotekea baada ya kula nyama ya ngombe aliyekufa akisadikika kuwa na ugonjwa wa kimeta,baada ya uchunguzi iligundulika ni kweli ngombe huyo alikuwa na kimeta . 

Tarehe 28/02/2019 Serikali  makini ya awamu ya tano chini ya uongozi wa Rais John Pombe Magufuli kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Profesa Elisante Ole Gabriel ilitoa kwa Halmashauri  dose 35,000 za chanjo ya kimeta, ambazo aliagiza kuwa zitolewe bure ambapo kila ng’ombe atakaye chanjwa alipiwe Tshs. 200/=@ badala ya 400/=@ inayotozwa sasa na Tshs. 100/=@ kwa kila mbuzi/kondoo atakaye chanjwa badala ya Tshs. 300/= inayotozwa sasa kwa mbuzi/kondoo kwa sasa. Aidha alielekeza chanjo hizo zitumike bila kuathiri mpango wa uchanjaji wa Wilaya uliowekwa.

  Vilevile  Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido alitoa pesa za kununua chanjo za ugonjwa huo, ambazo ni chupa 100 sawa na dozi 10,000 yenye thamani ya Tshs. 2,000,000/= (Revolving money). Lengo ikiwa ni kuchanja mifugo yote ya Wilaya nzima. Chanjo hiyo tumeshaanza kuitumia kuchanja mifugo kwa bei ya Tsh. 400/= kwa ng’ombe na mbuzi/kondoo  Tshs. 300/=. Halmashauri imeweza kununua vitendea kazi ili kurahisisha uchanjaji wa ugonjwa wa kimeta mapema na kwa wakati.

 Hadi kufikia tarehe 05/03/2019 jumla ya ng’ombe 4850 na mbuzi/kondoo 5785 walishachanjwa katika vijiji vya Tingatinga, Ngereyani na Orbomba na zoezi hili ni endelevu.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    August 07, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WILAYANI LONGIDO WALA KIAPO CHA UADILIFU

    August 05, 2025
  • SHIRIKA LA MONDO TANZANIA LAKABIDHI MAGODORO 32 KWA WANANFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE YA MSINGI LONGIDO

    July 30, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • View All

Video

LONGIDO YASHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE YANAYOFANYIKA VIWANJA VYA THEMI - NJIRO ARUSHA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.