• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

HALMASHAURI YAWEKA MIKAKATI KUKABILIANA NA UNYANYASAJI WA KIJINSIA KWA WANAWAKE NA WATOTO

Posted on: March 14th, 2019

Halmashauri  ya wilaya ya longido leo tarehe 14.03.2019 wamefanya kikao katika ukumbi wa Halmashauri na kuweka  mikakati ya kuhakikisha unyanyasaji wa wanawake na watoto wadogo unakomeshwa. Unyasaji  huo ni pamoja na ubakaji,ulawiti kwa watoto wadogo hasa maeneo ya Namanga ,mimba mashuleni kwa watoto wa kike ,ukeketaji hasa kwa watoto wa kike,ndoa za utotoni  ,unyasaji wa kisaikolojia,uhuru wa kushiriki kutoa mawazo pamoja na ukwepaji wa majukukumu,washiriki wa mikakati hiyo ni wakuu wa idara ya afya ,ustawi  wa jamii,maendele ya jamii,jeshi la polisi ,wanasheria ,watendaji wa vijiji kadhaa pamoja wenyeviti wa vijiji,katika semina hiyo imeelezwa kwamba kuna changamoto nyingi sana katika utokomezaji wa ukatili wa kijinsia hasa ya mimba mashuleni ,ukeketaji,ulawiti na ubakaji,changamoto hizo ni :-  

1.kutokuwepo kwa ushirikiano wa kutosha kati ya mwathirika wa tukio na vyombo vya dola 

2.wazazi kutotoa ushirikiano wa kutosha katika swala zima la unyanysaji wa watoto 

3.uwepo wa mrundika wa kabila moja kwenye uongozi kuanzia ngazi ya kata hadi vitongoji,hii inafanya wao wenyewe kuelewana wao kwa wao bila kumfikisha mtuhumiwa kwenye vyombo vya dola.

4.Ukosefu wa elimu katika jamii hasa kuhusu swala la ukeketaji ,jamii hii ya kimasai hawajui kabisa madhara ya ukeketaji kwa watoto wa kike.

Kutokana vitendo hii viovu ambayo waathirika wengi ni watoto wa kike na watoto wadogo serikali imejipanga kuhakikisha wanaeneza elimu ya nyumba kwa nyumba pamoja na hatua kali za kisheria zina chukuliuwa kwa mtu yeyote atakaebainika kuhusika na ukatili huu wa kijinsia.Pili kuhakikisha kwamba nguvu kazi (task force)katika jamii pamoja na kuwepo kwa wataalam mbalimbali katika jamii ili kuhakikisha mambo haya maovu yanatokomezwa,tatu jamii itambue kwamba unyanyasaji wa kijinsia hasa kwa watoto husababisha madhara mengi kwa watoto ikiwemo mtoto kukosa kujiamini,kuwa na msongo wa mawazo pamoja na maambuziki ya magonjwa mbalimbali hasa UKIMWI.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10% January 30, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • DED LONGIDO AFUNGUA MAFUNZO UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA

    May 14, 2025
  • MITUNGI 50 YATOLEWA KWA BABA NA MAMA LISHE WILAYANI LONGIDO

    April 17, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA WATOA ELIMU KUHUSU MPOX KATIKA SHULE YA SEKONDARI ENGARENAIBOR NA KETUMBEINE

    March 21, 2025
  • WWF NA BBC MEDIA ACTION WATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA JAMII JUU YA UHIFADHI WA MAZINGIRA

    March 21, 2025
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM