• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

UTAPIAMLO WAPUNGUA KWA ASILIMIA MOJA (1%)LONGIDO

Posted on: May 14th, 2019

Magonjwa ya Utapiamlo yameendelea kupungua kwa asilimia moja (1%) kutoka 1.5% hadi 1.4% katika kipindi cha Januari – Machi hayo yamesemwa leo tarehe 14/05/2019 katika kikao cha  Kamati ya Lishe ya Halmashauri ya Wilaya ya Longido wakati wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji kwa robo ya tatu(Januari mpaka Machi) 2019 katika ukumbi wa Halmashauri na kuhudhuliwa na wajumbe wa kamati hiyo.

Tathimini iliyofanyika katika robo hiyo ya tatu inaonesha kiwango cha utapiamlo kimepungua kwa asilimia 1% kutoka 1.5% hadi 1.4% . Kupungua huko kumeambatana na utoaji wa Elimu inayotolewa na kitengo cha Elimu kwa Wazazi na Walezi juu ya umuhimu wa Vitamin A na dawa za minyoo kwa watoto, kuwapeleka cliniki kwa kuzingatia tarehe walizopangiwa kurudi kwa ajili ya kupima maendeleo ya watoto.

Vilevile tathmini iliyofanyika inaonesha kuwa watoa huduma ngazi ya jamii kwa kushirikiana na wahudumu wa Afya kwenye vituo vya kutolea huduma walitoa elimu ya umuhimu wa  mtoto kunyonya maziwa ya mama pekee kwa kipindi cha miezi 6 ya mwanzo na hata pale mtoto atakapokuwa ameanza kupewa vyakula mpaka kipindi cha miaka miwili na zaidi.

Aidha tathmini hiyo ya kupungua kwa magonjwa hayo iliambatana na kamati kutoa vitamin A kwa watoto wapatao 33,704 wenye umri wa miaka 5. Hata hivyo watoto waliopata chanjo ni 32,483 sawa na 103%, licha ya kufanya hivyo kamati ya lishe inategemea kutoa matone ya Vitamini A na dawa za minyoo kwa watoto chini ya miaka 5 kuanzia June 1 hadi June 30, 2019.

Mikakati mbalimbali iliwekwa na kamati hiyo ya kuendelea kutoa elimu ya lishe kwa wanajamii na kuvitembelea vituo vyenye changamoto ya kuwa na idadi kubwa ya watoto wenye utapiamlo lakini pia kuwajengea uwezo watoa huduma ngazi ya jamii juu ya unasihi wa lishe .

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10% January 30, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • DED LONGIDO AFUNGUA MAFUNZO UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA

    May 14, 2025
  • MITUNGI 50 YATOLEWA KWA BABA NA MAMA LISHE WILAYANI LONGIDO

    April 17, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA WATOA ELIMU KUHUSU MPOX KATIKA SHULE YA SEKONDARI ENGARENAIBOR NA KETUMBEINE

    March 21, 2025
  • WWF NA BBC MEDIA ACTION WATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA JAMII JUU YA UHIFADHI WA MAZINGIRA

    March 21, 2025
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM