• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu,Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijinii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Usafishaji na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Maliasili na Utalii
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Rasilimali Asili na Hifadhi ya Mazingira
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasili na uhifadhi wa mazingira
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Leseni
    • Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti UKIMWI
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WAJUMBE WA KAMATI ZA KUDUMU WAMEWASILISHA TAARIFA ZA UTEKELEZAJI KATIKA MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI

Posted on: November 12th, 2019

Mkutano wa Baraza la madiwani umefanyika leo tarehe 12-11-2019 katika ukumbi wa  halmashauri ya Longido JK Nyerere ikiwa na agenda mbalimbali ikiwemo uwasilishaji wa taarifa mbalimbali za kamati ya kudumu za Halmashauri  kwa kipindi cha Julai mpaka Septemba 2019, mkupitia maazimio ya mkutano uliopita , mapendekezo ya wajumbe wa kamati ya mfuko wa kuchochea maendeleo ya jimbo (CDCF) na  maswali yapapo kwa papo kwa mkurugenzi na Mhe mwenyekiti.

Mkutano huo umehudhuriwa na waheshimiwa madiwani kutoka katika kata takribani 18 wa wilaya ya Longido, wataalamu kutoka katika idara na vitengo mbalimbali vya Halmashauri na wadau kutoka katika asasi mbalimbali.

Moja ya maswali ambayo yaliulizwa kueleka kwa mwenyeki wa mkutano huo ni changamoto ya uhaba wa mabwawa ya kunyweshea Wanyama kiasi cha kufanya Wanyama kukosa maeneo ya kupata maji na kuamua kusogelea kwenye makazi ya wananchi na kuatarisha usalama wa wananchi.

Pia wajumbe waliwasilisha taarifa za utekelezaji wa kazi za kamati mbalimbali za kudumu zikiwemo kamati shirikishi ya kuthibiti ukimwi, kamati ya elimu afya na maji,kamati ya uchumi ujenzi na mazingira na mwisho ni kamati ya fedha utawala na mipango.

Vilevile mkutano ulihudhuriwa na katibu tawala wilaya Ndugu Toba Nguvila akimwakilisha Mkuu wa wilaya Ndugu James Frank alitoa shukrani nyingi kwa madiwani wote wa baraza hilo na kuwasisitaza wajumbe kwenye suala zima la usalama wa wananchi wa Longido pamoja na mali zao hasa ukizingatia wilaya yetu ipo mpakani.

Pia alizungumzia suala zima la mfuko wa  Bima  ya afya ya jamii iliyoboreshwa (iCHF) na kuwataka waheshimiwa madiwani kuwahamasisha wananchi kujiunga kwenye mfuko huo ili wananchi waweze kupata nafuu ya huduma ya afya pale tu wanapohitaji kwani kwa sasa bila bima hiyo gharama ni kubwa ukizingatia na hali ya sasa.

Mwisho mwenyekiti wa kikao Mhe Diwani wa kata ya Sinya ndugu Sabore Molloimet alifunga mkutano na kuwataka waheshimiwa madiwani kufanya kazi kwa umoja na ushirikiano, pia kuwashukuru wajumbe wote kwa uchangiaji wa maoni na ushauri katika kipindi chote cha mkutano.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    August 07, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WILAYANI LONGIDO WALA KIAPO CHA UADILIFU

    August 05, 2025
  • SHIRIKA LA MONDO TANZANIA LAKABIDHI MAGODORO 32 KWA WANANFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE YA MSINGI LONGIDO

    July 30, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • View All

Video

LONGIDO YASHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE YANAYOFANYIKA VIWANJA VYA THEMI - NJIRO ARUSHA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.