• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Kamati za maji za miradi ya tabia nchi zapatiwa mafunzo jinsi ya kutunza miradi ya maji.

Posted on: February 1st, 2018

Kamati za maji za miradi ya Tabia nchi kutoka katika vijiji vya Kiserian,Orbomba,Eorendeke,na Namanga zimepatiwa mafunzo ya jinsi ya kuilinda na kuitunza miradi hiyo ili iwe endelevu na kuwaletea maendeleo kwa muda wa siku mbili kuanzia tarehe 01-02/2018

Akifungua mafunzo hayo Kaimu Mkurugenzi ambaye pia ni Afisa elimu sekondari(W) Mwalimu Gerson Mtera amezitaka kamati hizo kuilinda na kusimamia miradi hiyo kwa kuwa wao wenyewe ndiyo waliibua miradi hiyo na ikapitishwa na ikapata wafadhili na kutekelezwa  pindi watakapokabidhiwa ni jukumu lao kuitunza ili iwe endelevu na kuwaletea maendeleo katika vijiji vyao.

Pia mratibu wa miradi ya Tabia nchi ndg. Ally Msangi nae amezitaka kamati  za maji kuwa wasimamizi wakuu wa miradi hiyo pindi itakapo kabidhiwa ili  miradi yao iwe endelevu na yenye tija na mada zifuatazo ziliwasilishwa kwa wanakamati:- 

- Nini maana ya mabadiliko ya Tabia nchi,

-uendelevu wa miradi

-ushirikishwaji wa jamii katika miradi

-uwakilishi sawa katika kamati za maji

-Uandaaji wa bajeti ya uendeshaji na ukarabati

-Utawala na usimamizi bora wa miradi

-Uandaaji wa taarifa za miradi na utunzaji kumbukumbu

-Tadhiminii na ufuatiliaji wa miradi.

Kwa upande wao wajumbe wa kamati hizo wamesema wameelewa vizuri mafunzo hayo na wanashukuru kwa kuwa nii Mara ya kwanza kwa kamati hizi kupatiwa mafunzo na wamehaidi kuitunza miradi hiyo kwa nguvu zao zote.



Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10% January 30, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • DED LONGIDO AFUNGUA MAFUNZO UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA

    May 14, 2025
  • MITUNGI 50 YATOLEWA KWA BABA NA MAMA LISHE WILAYANI LONGIDO

    April 17, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA WATOA ELIMU KUHUSU MPOX KATIKA SHULE YA SEKONDARI ENGARENAIBOR NA KETUMBEINE

    March 21, 2025
  • WWF NA BBC MEDIA ACTION WATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA JAMII JUU YA UHIFADHI WA MAZINGIRA

    March 21, 2025
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM