• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

KIKAO CHA MADIWANI CHA KUPITIA HOJA ZA MATUMIZI YA FEDHA H/W LONGIDO.

Posted on: August 18th, 2017

          Na Saumu Kweka

 Kikao cha Madiwani kilicho fanyika mapema leo tar 17 August katika ukumbi wa Mwl.J K Nyerere cha kupitia hoja za matumizi ya fedha za halmashauri.

          Kikao hicho  kilicho endeshwa na Mwenyekiti  Mh,Sabore Mollaimet na Makamu Mwenyekiti Esupati Ngulupa na na kuhudhuriwa na wageni kutoka Mkoani,katika kujadili nyaraka za hoja za matumizi ya fedha

         Aidha Mwenyekiti Mh Sabore  aliwaomba  watoa taarifa za hoja na waandaaji kuwa makini wanapo toa taarifa hizo ili kuhakikisha hoja zao zina kuwa sahihi na zenye ukweli.

           Hatahivyo  Wageni walio hudhuria kikao hicho kutoka Mkoani waliwataka watoahoja  na Halmashauri kwa ujumla kushirikiana vyema na Idara ya Ukaguzi ili kuweza kutoa taarifa zenye usawa.

           Pia Wageni hao waliongezea kwakuwaomba kuwa makini na Matumizi ya fedha, Manunuzi,Uwasilishaji mikataba ya Zabuni,na Mikataba ya vibarua /watumishi wanao ajiriwa isainiwe ilikuepuka hoja zisizo na ulazima,Hatua za kinidhamu zichukuliwe na kuwa makini kwenye utunzaji wa kumbukumbu za Halmashauri.

          Aidha Makamu Mwenyekiti  Mh,Esupati alimaliza kwa kuwataka Waandaaji wa taarifa za hoja kuongeza umakini ili kuepuka hati zenye makosa  kupitia makosa madogo madogo yaliyo jitokeza  na kutokupata hati zenye mashaka katika Halmashauri.

 Approved by Joseph Peter Mkumbwa

 AgDICTO

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10% January 30, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • DED LONGIDO AFUNGUA MAFUNZO UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA

    May 14, 2025
  • MITUNGI 50 YATOLEWA KWA BABA NA MAMA LISHE WILAYANI LONGIDO

    April 17, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA WATOA ELIMU KUHUSU MPOX KATIKA SHULE YA SEKONDARI ENGARENAIBOR NA KETUMBEINE

    March 21, 2025
  • WWF NA BBC MEDIA ACTION WATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA JAMII JUU YA UHIFADHI WA MAZINGIRA

    March 21, 2025
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM