• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu,Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijinii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Usafishaji na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Maliasili na Utalii
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Rasilimali Asili na Hifadhi ya Mazingira
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasili na uhifadhi wa mazingira
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Leseni
    • Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti UKIMWI
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

KISUKARI NA MAAMBUKIZI YA VVU YAMEPUNGUA UNENE WASHIKA KASI LONGIDO

Posted on: September 4th, 2017

 Na Johnson Ismail    

  Maambukizi ya Ukimwi W/longido, yamepungua kwa asilimia kubwa  kufikia hadi  asilimia1.9% ya aidadi ya walio jitokeza kupima kwenye mkesha wa Mbio za Mwenge uliofanyika kwenye uwanja wa Shule ya msingi  Namanga lakini Uzito umeongezeka hadi asilimia 29% ya idadi ya walio jitokeza kupima.

       Mkesha huo uli hamasisha Wananchi  wengi kupima Afya zao Jumla ya walio jitokeza kupima (VVU)Virusi vya Ukimwi  ilikua ni 225,Wanaume159 na Wanawake66, Kati ya hao walio gundulika kuwa na VVU ni 2  MwanaUme1 na Mwana Mke1.

      Hata hivyo Walio gundulika kuwa na VVU walipewa Ushauri na Saha na kuunganishwa na huduma za  Tiba na Mafunzo hapohapo, Pia ambao hawakuonekana na Maambukizi walipewa Ushauri na Saha ya matumizi ya condom na jinsi ya kuepuka maambukizi ya VVU kwa ujumla.

      Pia idadi ya waliopima hali ya lishe na magonjwa sugu yasiyo ambukiza ilikua ni 112, Wanaume 91,Wanawake21  Kati ya hao walio pima Uzito nagundulika kuwa na Unene ulio zidi ni 22 ,Wanaume ni 16,na Wanawake6  Wote walipewa Ushauri wa Lishe Bora na umuhimu wa matunda na mboga mboga mwilini.

       Nao walio pima Kisukari walikua jumla yao ni 2, Wanaume ni 16 na Wanawake5.Kati ya hao Mwana ume Mmoja aligundulika kuwa na Ugonjwa  wa Kisukari, Na ameshauriwa aendelee kufwatilia Afya yake kila Mara.

       Kufuatia ongezeko hilo la Unene wananchi wameombwa kuzingatia Mazoezi ili kuweka miili yao nyema.Pia kwawale wasio na maambukizi yaVVU wasiwatenge waathirika bali wawape ushirikiano wakutosha na Walio gundulika kuwa na VVU wasikate tamaa na kuona huo ndio mwisho wao bali waone huo ndio mwanzo wa maisha

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    August 07, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WILAYANI LONGIDO WALA KIAPO CHA UADILIFU

    August 05, 2025
  • SHIRIKA LA MONDO TANZANIA LAKABIDHI MAGODORO 32 KWA WANANFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE YA MSINGI LONGIDO

    July 30, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • View All

Video

LONGIDO YASHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE YANAYOFANYIKA VIWANJA VYA THEMI - NJIRO ARUSHA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.