• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Longido Sec wafurahia Msaada wa Sement

Posted on: December 14th, 2017

Katika  harakati za kuimarisha  ulinzi na usalama shule ya sekondari Longido iliyoko wilayani longido mkoani Arusha imepokea mifuko 200 ya simenti kutoka kampuni ya mission  kwa ajili ya ujenzi wa uzio  wa shule jana  tarehe 14, disemba 2017.


Wakati akitoa shukrani zake za dhati mkuu wa shule ndg.Danieli g.Ntemi  ameweza kueleza kuwa wazo hilo lilianza kipindi shule yao kuungua moto hivyo kuanza  shughuli ya ujenzi rasmi mnamo januari 2017 kwa nguvu za wazazi lakini kwa kusuasua kwani ilikuwa ni kama ndoto ambayo wasingeweza kutekeleza.


Ndg.Daniel g.Ntemi ameendelea kufafanua kuwa wazo lao lilipata nguvu rasmi wakati wa mahafali ya kidato cha sita tarehe 8,April2017 baada ya kuahidiwa na mgeni rasmi katika hiyo mahafali mkurungenzi wa kampuni ya mission Bw.Michael Manthakis kwa kuwa ahidi  tani 30  za simenti kwa ajili ya ujenzi  wa uzio.


Pia  ahadi hiyo ilianza kutekelezwa tarehe 12/07/2017 ambapo  tani 10 za simenti kati ya tani 30 zilitolewa kwani kwa kufanya hivyo si kwamba ilishindikana kutolewa tani zote 30 kwa wakati moja bali nikwa angalizo aliyoito bw.michael ya kuwa simenti zinaweza kuisha muda wake hivyo kuletwa kwa awamu tatu ambapo awamu mbili kukamilishwa kwa sasa nakusalia awamu moja tu katika ahadi hiyo.


Vile vile mkuu wa shule ndg.Ntemi ameweza kuwa fafanulia hatu waliyoifikia katika ujenzi huo kuwa  upande wa kusini 440m na 35cm,upande wa mashariki 205cm na kwa upande wa magharibi 99m na 60cm hivyo kusema ujenzi  bado unaendelea vizuri kwa hatua hiyo ya msingi.


Hata hivyo  katibu tarafa ndg.Mtasigwa naye ameweza kutoa shukrani zake kwa kampuni hiyo akieleza moja ya changamoto kubwa ambayo inaikumba shule hiyo ni kutokuwa na uzio  swala ambalo linahatarisha  usalama wa shule kwani mtu yeyote anaweza kuingia kupitia popote na kufanya anavyojiskia kufanya ,huku akiwaasa wanafunzi kuwa kwakufanya hivyo si tu shule ipendeze ni pamoja na matunda mazuri yaonekane kutoka kwenu  kwani kupendeza kwa shule ni pamoja na matokeo mazuri.


Aidha Afisa elimu sekondari  ndg.Gerison Mtera ameipongeza kampuni hiyo kuonesha moyo wa mkubwa kwa kushirikiana na jamii hiyo kufanikisha suala hilo huku akiwataka uongozi wa shule usimamie vizuri zoezi hilo la ujenzi kwani  msaada unapotolewa bila kuufanyia kazi ni bure pia ni kumkatisha tamaa aliyejitoa kufanikisha kazi hiyo nakuwa sisitiza  pia kuwa fuatilia waliowaahidi  bila kutekeleza ahadi zao  kwa kukamilisha mapungufu ya shule hiyo .


Hivyo basi uongozi wote wa shule ,wanafunzi,na viongozi kutoka ngazi ya halmashauri ya wilaya Longido wametoa shukrani zao za dhati kwa kampuni ya mission  ya bw .michael  Manthakis  kwa kutekeleza ahadi yake kwa muda bila kusukumwa wala kulazimixhwa kwani amekuwa mfano kati ya wadau wote waliowahi kutoa ahadi  kwa kuitekeleza ipasavyo.


Vile vile wamemtaka mwakilishi wa meneja huyo ndg.Damasi Rumangisa  kumshika mkono meneja atakaporejea kuwa ni ishara ya shukrani zote zilizotolewa na Taasisi,bodi ya shule pamoja na wazazi huku wakimsisitza kuwa bado shule yao inauhitaji mkubwa hivyo wasisite kutoa msaada wao watakapohitaji.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10% January 30, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • DED LONGIDO AFUNGUA MAFUNZO UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA

    May 14, 2025
  • MITUNGI 50 YATOLEWA KWA BABA NA MAMA LISHE WILAYANI LONGIDO

    April 17, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA WATOA ELIMU KUHUSU MPOX KATIKA SHULE YA SEKONDARI ENGARENAIBOR NA KETUMBEINE

    March 21, 2025
  • WWF NA BBC MEDIA ACTION WATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA JAMII JUU YA UHIFADHI WA MAZINGIRA

    March 21, 2025
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM