• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu,Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijinii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Usafishaji na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Maliasili na Utalii
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Rasilimali Asili na Hifadhi ya Mazingira
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasili na uhifadhi wa mazingira
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Leseni
    • Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti UKIMWI
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

LONGIDO YAPATA MGAO WA CHAKULA MASHULENI KUKABILIANA NA JANGA LA NJAA.

Posted on: July 10th, 2023

Mkuu wa wilaya ya Longido Mheshimiwa Marco Henry Ng'umbi leo tarehe 10/07/2023, amepokea mradi wa chakula toka Shirika la World Vision kwa ajili ya shule za msingi 30 zilizopo katika kata ya Ketumbeine ambazo zina zaidi ya wanafunzi 11,726.

Akikabidhi chakula hicho, Mratibu wa world Vision kata ya Ketumbeine Ndugu Peruth Daudi kwa shule hizo 30 za msingi, World Vision imetoa jumla ya gunia 1140 za  Mahindi, Gunia 281 za Maharagwe pamoja na Ndoo  274 za Mafuta ya kupikia zenye ujazo wa lita 20 ambavyo vimegharimu takribani  Shilingi Milion 175 za kitanzania.

Mheshimiwa mkuu wa wilaya amelishukuru shirika la world Vision kwa kuona sababu ya kutoa msaada huo wa chakula kwa watoto wa shule za Msingi katika Wilaya yake "Nimepita nimeona chakula mashuleni, kama tunavyojua uwepo wa chakula mashuleni kunaongeza chachu ya wanafunzi katika kujifunza".Alisema mheshimiwa Ng'umbi.

Serikali inatambua mchango wa wadau na mashirika mbalimbali kwenye elimu, hivyo basi inaunga mkono jitihada za Shirika la World  Vision kwenye kusaidia wanafunzi haswa wa shule za msingi.

Mheshimiwa mkuu wa wilaya amelipongeza shirika la World Vision kwa kutimiza Afua za lishe kwa wanafunzi "Kwa kuwa watoto  wanakula shuleni  wote tumeona wamependeza na wana afya njema" aliongeza Mkuu wa wilaya.

Naye Ndugu  Grace Mghase kwa niaba ya mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Longido amewaasa shule zilizonufaika na chakula hicho kukitumia kwa manufaa ya walengwa na si vinginevyo. Kwa kufanya hivyo kunarahisisha matumizi ya bajeti ya chakula kwa muda mrefu, na amewaasa wazazi kutojibweteka katika uchangiaji wa chakula mashuleni.

Shirika la World vision limekuwa likifanya vizuri  kwenye maendeleo haswa ya  chakula mashuleni kwenye wilaya ya longido haswa kata ya Ketumbeine.


JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA  KAZI IENDELEE

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    August 07, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WILAYANI LONGIDO WALA KIAPO CHA UADILIFU

    August 05, 2025
  • SHIRIKA LA MONDO TANZANIA LAKABIDHI MAGODORO 32 KWA WANANFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE YA MSINGI LONGIDO

    July 30, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • View All

Video

LONGIDO YASHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE YANAYOFANYIKA VIWANJA VYA THEMI - NJIRO ARUSHA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.