• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu,Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijinii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Usafishaji na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Maliasili na Utalii
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Rasilimali Asili na Hifadhi ya Mazingira
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasili na uhifadhi wa mazingira
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Leseni
    • Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti UKIMWI
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MAAFISA LISHE WAPEWA ELIMU YA LISHE BORA

Posted on: August 13th, 2019


Taasisi ya chakula na lishe Tanzania ( TCLT), imeendesha semina ya lishe  iliyo fanyika tarehe 13 na 14,agosti 2019, katika ukumbi wa OCD Longido,iliyo hudhuriwa na wadau wa afya na lishe  wilaya, ikiongozwa na afisa lishe wilaya,wawezeshaji wakiwa ni, Bi.Maria Ngilisho afisa lishe mtafiti mwandamizi taasisi ya chakula na lishe Tanzania (TCLT) pamoja na Prosper Mushi afisa lishe mkoa, wataalamu hawa wamezungumzia  zaidi jinsi gani lishe ilivyo bora kwa maisha ya kila mtu. Ameeleza kuwa lishe ni mchakato wa chakula mwilini. Pia katika majadiliano ya wataalamu hao wamesema kuwa ili kuwa na afya bora ni vyema kuzingatia makundi tano  ya chakula zinazo weza kumsaidia mwanadamu kuwa na afya bora. Makundi hayo ni; vyakula vya asili yaani nafaka, asili ya wanyama, matunda, mbogamboga na mafuta kama vile karanga,korosho, muwezeshaji wa mada Bi.Ngilisho amesema kuwa katika mazingira yoyote kuna uwezekano wa watu kupata lishe bora kwani ukipika chakula kimoja huchukua karibu aina zote za makundi, hivyo ni vyema jamii kutambua namna ya kupata lishe bora ili kuepukana na madhara mbalimbali kama vile utapiamlo, ameeleza jinsi gani sekta ya lishe inavyo weza kuwiana na sekta zingine kama  vile kilimo, mipango, maendeleo ya jamii, elimu, maji na mazingira n.k. pia Bi. Ngilisho ameeleza kuwa ukosefu wa elimu bora pamoja na kukumbatia mila na desturi zilizopitwa na wakati katika jamii huweza kupelekea ukosefu wa lishe bora. Katika kutoa mfano halisi mmoja wa jumbe alieleza jinsi gani jamii za kifugaji (maasai) walivyo na desturi na mila potofu juu ya lishe kwa wanawake wajawazito, amesema kuwa kutokana na ukeketaji  wanaofanyiwa wanawake hunyimwa kula vyakula bora, jambo hili hupelekea mtoto kukosa afya toka akiwa tumboni na hata akizaliwa ( siku elfu moja) hivyo hupelekea utapiamlo.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    August 07, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WILAYANI LONGIDO WALA KIAPO CHA UADILIFU

    August 05, 2025
  • SHIRIKA LA MONDO TANZANIA LAKABIDHI MAGODORO 32 KWA WANANFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE YA MSINGI LONGIDO

    July 30, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • View All

Video

LONGIDO YASHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE YANAYOFANYIKA VIWANJA VYA THEMI - NJIRO ARUSHA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.