• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu,Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijinii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Usafishaji na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Maliasili na Utalii
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Rasilimali Asili na Hifadhi ya Mazingira
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasili na uhifadhi wa mazingira
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Leseni
    • Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti UKIMWI
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MADIWANI LONGIDO DC WAIDHINISHA BAJETI YA BILION 25.9 MWAKA UJAO WA FEDHA 2021/2022.

Posted on: February 26th, 2021

Wajumbe wa Baraza la Madiwani halmashauri ya Longido, wameidhinisha mpango wa bajeti ya mapato na matumzi kwa mwaka ujao wa fedha wa 2021/2022, wakati wa mkutano maalum wa Baraza la madiwani uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano halmashauri ya Longido.

.Wakizungumza wa wakati wa  mkutano huo maalumu wa Baraza la Madiwani, wajumbe hao wameidhinisha mpango huo wa bajeti ambao, kimsingi umezingatia vigezo vya uandaaji wa bajeti pamoja na kugusa maeneo yote kisekta, huku kipaumbele kikubwa ikiwa ni uboreshaji sekta ya elimu na Afya na Ardhi kwa ajili ya upimaji na kukusanya mapato ya ndani. 

Mwenyekiti wa halmashauri ya Longido, Mheshimiwa Saimon Oitesoi, amesema kuwa fedha hizo kiasi cha bilion 25.9 zimelenga zaidi katika kutatua kero na changamoto mbalimbali za wananchi wa halmashauri ya Longido, licha ya kwamba bado halmashauri inakabiliwa na tatizo la kuwa na mapato kidogo lakini tumejipanga kusimamia na kukusanya mapato na kubuni vyanzo vipya vya Mapato. 

 Mheshimiwa Mwenyekiti wa Halmashauri akichangia rasimu ya Bajeti

Akiwasilisha rasimu ya mpango wa bajeti kwa mwaka wa fedha 2021/2022, kwa niaba ya mkurugenzi mtendaji, Afisa Mipango halmashauri ya Longido Peter Ngusa, ameweka wazi kuwa, halmashauri imepanga kukusanya na kutumia kiasi cha shilingi Bilioni 25.9. 

Afisa Mipango huyo amefafanua kuwa, utekelezaji wa bajeti hiyo ya shilingi bilioni 25.9, unategemea mapato ya ndani kwa shilingi bilioni 2,238 ,600,000.00, TZS761,086,000.00 fedha kwa ajili ya matumizi mengineyo, bilioni 10.2 ikiwa ni Ruzuku ya miradi ya maendeleo huku ruzuku ya mishahara ya watumishi ikikadiriwa kutumia kiasi cha shilingi bilooni  12,695.487,600.00. Asilimia 90 ya bajeti  inategemea serikali kuu.

Afisa Mipango wa Halmashauri Peter Ngusa akiwasilisha Rasimu ya bajeti mwaka wa Fedha 2021/2022.

Nae Mheshimiwa diwani wa kata Mundarara  Alais Mushao akichangia rasimu hiyo amesema  bajeti  imegusa sekta zote muhimu changamoto  ni ufinyu wa bajeti  kutokana na kuwa na vyanzo vichache vya mapato lakini tumejipanga kuanzisha miradi mbalimbali itakayoongeza mapato ya Halmashauri yetu.

Mhe Alais Mushao diwani kata ya mundarara akichangi rasimu ya bajeti mwaka wa fedha 2021/2022

Rasimu hiyo ya mpango wa bajeti ya halmashauri ya Longido, kwa mwaka wa fedha 2021/2022 licha ya kuidhinishwa na mkutano maalum wa Baraza hilo la Madiwani, bado inaendelea kuwa rasimu mpaka kukamiliaka kwa michakato yote ya kisheria na hatimaye kufikia kuidhinishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano  wa Tanzania ili kuanza utekelezaji wake ifikap Julai 1, 2021.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    August 07, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WILAYANI LONGIDO WALA KIAPO CHA UADILIFU

    August 05, 2025
  • SHIRIKA LA MONDO TANZANIA LAKABIDHI MAGODORO 32 KWA WANANFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE YA MSINGI LONGIDO

    July 30, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • View All

Video

LONGIDO YASHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE YANAYOFANYIKA VIWANJA VYA THEMI - NJIRO ARUSHA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.