• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MAFUNZO YA UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KULA SAMBAMBA NA KIAPO VYAFANYIKA LONGIDO

Posted on: July 11th, 2019

Halmashauri ya Wilaya ya Longido chini ya Mkurugenzi Mtendaji Ndug. Jumaa Mhina kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kutoka maeneo tofauti nchini Tanzania imetoa Elimu kwa waandishi wasaidizi wa uchaguzi ili kuboresha daftari la kudumu la kupiga kura.

Mafunzo hayo yametolewa na Maafisa Uandikishaji ngazi ya jimbo na Maafisa Tehama wa Wilaya katika ukumbi wa Halmashauri Longido leo julai 11, 2019, mafunzo ambayo yameudhuriwa na Maafisa waandikishaji wasaidizi na BVR operator wa kata 18 zote za Wilaya ya Longido.

Awali kabla ya Mafunzo hayo Mkurugenzi Mtendaji  Ndug. Mhina ambaye alikuwa mwenyekiti katika mafunzo hayo pia amesimamia zoezi la ujazaji wa Fumu za kiapo ambapo amewataka waandikishaji wasaidizi kuhakikisha hawana chama chochote.

Ndug. Mhina amefafanua kuwa usimamizi hauhitaji kada yeyote wa chama badala yake ni watumishi wa tume pekee . Mkurugenzi amewataka kujitoa kwenye chama kwanza, kujaza majina yao matatu , maeneo wanakotokea vilevile kuweka kiapo kuwa hawatakuwa na kipendeleo wala upande wowote na mwisho kuweka sahihi ya kiapo hicho.

Miongoni mwa washiriki wa utoaji mafunzo hayo ni Saul Nleya ambaye ni Mratibu wa uandikishaji wa Mkoa, ambaye amewataka waandikishaji hao kuwa zipo sehemu katika Mkoa wa Arusha ambazo ni Wilaya za Longido,Ngorongoro na nyinginezo ambazo zipo katika mipaka ya nchi zinauhitaji mkubwa wa umakini katika kuandikisha ili kuhakikisha wanawaandikisha walio raia wa Tanzania na watambuliwe kutoka kwa viongozi wa ngazi ya vitongoji, vijiji, kata mpaka wilaya.

Aidha Mhe. Jaji (R) Mbarouk Salim Mbarouk ambaye ni Makamu mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya uchaguzi ameagizi kufuata sheria, taratibu, kanuni, na maelekezo watakayopewa waandishi hao bila kusahau taratibu za tume ya taifa ya uchaguzi.

Naye Mkurugenzi wa Uchaguzi kutoka Zanzibar Thabit Idarous Faina amewataka kuwa na umakini, weredi pamoja na uwajibikaji muda wote wa uandikishaji  kama kufika kituo muda mwafaka (08:00) asubuhi mpaka (12:00) jioni.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10% January 30, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • DED LONGIDO AFUNGUA MAFUNZO UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA

    May 14, 2025
  • MITUNGI 50 YATOLEWA KWA BABA NA MAMA LISHE WILAYANI LONGIDO

    April 17, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA WATOA ELIMU KUHUSU MPOX KATIKA SHULE YA SEKONDARI ENGARENAIBOR NA KETUMBEINE

    March 21, 2025
  • WWF NA BBC MEDIA ACTION WATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA JAMII JUU YA UHIFADHI WA MAZINGIRA

    March 21, 2025
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM