• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MAFUNZO YA WATAALAMU WA H\W LONGIDO KUHUSU MFUMO WA TAKWIMU PLANREP NA FFARS

Posted on: October 2nd, 2017

            Na Johnson Ismail

Approved By Joseph  Peter Mkumbwa. ICTO

         Ufunguzi wa Mafunzo hayo ya Mfumo wakuandaa Bajeti  wa  PLANRES na FFARS yamefunguliwa rasmi leo kwenye ukumbi wa Mwal J.K Nyerere mafunzo hayo yatakayo chukua siku tano yakiwa na malengo yakuongeza ujuzi/maarifa juu ya mfumo mzima wa takwimu.

       Mafunzo hayo yamejumuisha wakuu wa Idara na Vitengo,Maafisa Bajeti kutoka kwenye Idara na Vitengo pia Wajumbe wa CHMT ambao kwapamoja watajihusisha na utaratibu mzima wa uandaaji wa bajeti kwenye maeneo yao kulingana na shughuli zitakazo fanyika na mfumo mzima wa matumizi kulingana na bajeti zao.

       Hatahivyo mafunzo hayo yamefunguliwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji ambaye ni Afisa utumishi  (W)Longido Ndg.Steven Mbombe kwa kuwataka watumishi hao  kuzingatia mafunzo hayo kwakuwa mpango wa Bajeti ndio dira ya shughuli zitakazo tekelezwa kwa mwaka Mzima.

“Bajeti ni mpango hivyo kushindwa kupanga malengo itapelekea kushindwa kutekeleza malengo,hivyo kila mmoja kwa nafasi yake awe makini kujifunza na kuyaelewa mafunzo hayo”.amesemsa Kaimu Mkurugenzi.

       Hatahivyo Afisa Mipango wa Halimashauri ya Longido Peter Ngusa amesema kuwa Mafunzo haya yana lenga kuwa jengea uwezo Watumishi juu ya mfumo wa PLANRES na FFARS ambao umeboreshwa na mifumo mingine kama Epicor,LGRCIS na mifumo mingine.

          Aidha Afisa Mipango Ngusa amesema kuwa mfumo huu umepunguza gharama kwa kuwa maandalizi yatafanyika kwenye mfumo yaani Online kadhalika na uwakilishaji wake ni tofauti na zamani ilikuwa lazima watu kusafiri kwenda kuwasilisha bajeti, hali ambayo kwa sasa haitakuwepo .

Pia washiriki wa Mafunzo hayo wakuu wa Idara,Vitengo Maafisa Bajeti,wali furahishwa na ufunguzi huo na kusema ni njia nzuri ya kuwafundisha kwani watakua wana tumia mafunzo hayo vizuri katika utendaji wao wa kazi na kuacha kutumia pesa nyingi kwaajili ya kusafiri kuwasilisha Bajeti.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10% January 30, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • DED LONGIDO AFUNGUA MAFUNZO UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA

    May 14, 2025
  • MITUNGI 50 YATOLEWA KWA BABA NA MAMA LISHE WILAYANI LONGIDO

    April 17, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA WATOA ELIMU KUHUSU MPOX KATIKA SHULE YA SEKONDARI ENGARENAIBOR NA KETUMBEINE

    March 21, 2025
  • WWF NA BBC MEDIA ACTION WATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA JAMII JUU YA UHIFADHI WA MAZINGIRA

    March 21, 2025
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM