• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu,Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijinii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Usafishaji na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Maliasili na Utalii
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Rasilimali Asili na Hifadhi ya Mazingira
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasili na uhifadhi wa mazingira
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Leseni
    • Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti UKIMWI
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MAONYESHO YA NANE NANE WILAYANI LONGIDO

Posted on: August 8th, 2019

 MAAFISA UGANI WAELIMISHA JAMII KATIKA MAONYESHO YA KILIMO NA MIFUGO  (NANE NANE)

Katika maonyesho ya nane tarehe 08. 08. 2019, Maafisa ugani wameelimisha  jamii juu ya kilimo na Mifugo, Afisa Kilimo Emmaanuel Sailevu amesema wametoa elimu juu ya  ukulima wa mazao mbali mbali kwa njia ya kisasa kabisa , ambayo ni umwagiliaji,  Jamii inatakiwa kujua  kuwa njia hii ni muhimu sana kwani mazao hulimwa kwa vipindi vyote vya mwaka bila kujali kipindi cha kiangazi. Kufuatia mradi wa maji kutoka mto simba mazao hayo huweza kulimwa hata eneo la Longido mjini. Maonyesho hayo yamefanyika katika banda la kilimo tingatinga,wataalamu waliweza kuonyesha mazao mbalimbali kama vile; Nafaka( mahindi yanayoweza kukomaa kwa muda wa siku 100 hadi 110), maharage aina mbali mbali za maharage kama ngariase, soya, njegere. Pia kilimo cha mbogamboga kilifundishwa kwa mapana na aina mbalimbali za mboga kama; kabichi, mnafu,spinachi, sukuma wiki, celeri, chainizi, na viungo mbali vya chakula kama vile vitunguu, biringanya, nyanya,karoti. 

 Pia wataalamu  mifugo wameeleza jamii ufugaji wa kisasa na maendeleo ya ufugaji huu wilayani Longido. Katika maonyesho hayo walionyesha aina mbali mbali za mifugo kwa upande wa ng`ombe walionyesha dume la mbegu aina ya sahiwal ambaye ni chotara mwenye sifa kama zifuatazo,huwa na kilo nyingi kuanzia 1000kg na kuendelea,huwa na nyama nyingi, pia ng`ombe jike huwa na maziwa mengi kiasi cha lita 6 (sita) kwa siku, pia wanasifa ya kuwa haraka,na wanaweza kustahimili mazingira magumu,pia wana soko ndani ya nchi na hata nje ya nchi. Pia wataalamu wamifugo walielezea pia aina ya mbuzi waitwao ISIOLO ambapo inasemekana kuwa asili yake ni Kenya lakini aina hii ya mbuzi wametapakaa wilaya nzima sasa kwa asilimia 90%. Pia wana maziwa mengi na yenye ubora wa hali ya juu hutoa kiasi cha lita moja nanusu hadi lita mbili kwa siku, pia wana nyama nyingi na hustahimili mazingira magumu. Katika kuelezea aina ya kondoo wameonyesha aina ya RED MASAI, afisa mifugo amesema kuwa hawa kondoo huwa na tabia ya kupotea sana,hivyo amewaasa wafugaji kuwatunza kwa bidii kwani wanasifa nyingi nzuri na pia hawapatwi na magojwa mara kwa mara na pia asili yao ni Tanzania. Katika maonyesho hayo wataalamu  wamewaasa wanajamii wa Longido, kufuga mifugo yenye kuendana na kasi ya kauli  mbiu ya Tanzania ya viwanda ili kuweza kupata malighafi ya kulisha viwanda kama vile ngozi. Pia waliweza kuonyesha aina za malighafi zipatikanazo na mifugo kama vile mikanda ya ngozi, viatu vya  ngozi, jamii imehamasihwa utunzaji bora wa mifugo na mazingira, ameeleza afisa mifugo wilaya Nestory Dagharo.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    August 07, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WILAYANI LONGIDO WALA KIAPO CHA UADILIFU

    August 05, 2025
  • SHIRIKA LA MONDO TANZANIA LAKABIDHI MAGODORO 32 KWA WANANFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE YA MSINGI LONGIDO

    July 30, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • View All

Video

LONGIDO YASHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE YANAYOFANYIKA VIWANJA VYA THEMI - NJIRO ARUSHA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.