• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

DC NG'UMBI AKABIDHI MRADI WA MBUZI 164 KWA KAYA MASKINI

Posted on: April 20th, 2023

Walengwa 43 wa kaya maskini katika kijiji cha Orbomba leo tarehe 20/04/2023 wamepewa mbuzi takribani 164  aina ya ISIOLO na Serikali kupitia Mfuko wa Maendeleo ya jamii (TASAF),makabidhiano hayo yamefanyika katika ofisi ya kijiji cha Orbomba.

Akikabidhi mradi huo wa mbuzi aina hiyo ya ISIOLO kwa walengwa 43, Mheshimiwa Marko Ng'umbi mkuu wa Wilaya ya Longido amewataka wanakaya kuwatunza mbuzi hao kwa lengo la kuondoa umaskini kwenye kaya. Mbuzi hao wakiwatunzwa vizuri  watawasaidia kuongeza kipato kwani tunafahamu kuna faida nyingi sana kwenye mifugo hii ya mbuzi ikiwepo nyama, Maziwa, na wanapozaliana tutapata mbuzi wengi hapo sasa ndipo mnaweza kuwauza nakujipatia pesa kwa ajili ya chakula, mavazi, makazi bora pamoja na kusaidia kuwapeleka watoto shuleni.

Pamoja na hayo Mheshimiwa mkuu wa wilaya amewaasa wanakaya kutowapeleka sokoni mifugo hiyo hivi karibuni badala yake wawatuze mpaka watakapozaliana ndipo wanaweza kuwapeleka sokoni mana watakuwa wengi,kwa kuwa mradi umelenga kuongeza kipato kwa kaya hizo maskini. sambamba na hilo amewaomba wahakikishe mifugo hiyo inakuwa salama, "Ndugu zangu sitopenda kusikia mbuzi hawa tuliowagawia leo wanakufa au wamepotea ama wamepata madhara yeyote yale  badala yake nitafurahi nikisikia wako vizuri wana afya njema na wameongezeka kwa maana wamezaliana ili tujikwamie kiuchumi, badala ya kula mlo mmoja ama kushinda njaa na kulala njaa kabisa sasa tukiweza kuwatunza tutakula milo mitatu bila shida wala tatizo lolote "Alisema Mheshimiwa Ng'umbi

Nae mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Longido ndugu Stephen Ulaya ameishukuru Serikali  kwa kuwezesha kufanikisha mradi huo kwa kaya Maskini unaotekelezwa na TASAF awamu ya III,vilevile amewasihi sana wanakaya kuwatunza mbuzi hao ili waweze kuwasaidia kiuchumi

Akizungumza kwa niaba ya wanakijiji na wanakaya hao wa kaya maskini mwenyekiti wa kijiji cha Orbomba ndugu Lashilo Alais Ameishukuru wadau wa Mfuko wa Maendeleo ya jamii TASAF pamoja na serikali ya awamu ya Sita chini ya uongozi wa mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan kwa kuwajali wananchi wake na kuwapatia mbuzi hao kwa lengo la kujikwamua kiuchumi na ameahidi kuwatunza kwa kila hali ili waweze kuwaletea manufaa katika kuongeza uchumi wa kaya.

Pia ameongeza kwa kuiomba Serikali kuwakumbuka zaidi kwani bado kuna kaya nyingi zinahitaji msaada kama huu ili ziweze kujikwamua na wimbi hili la umaskini. "Tunaiomba Serikali iendelee kutufikiria kwani bado kuna wananchi wengu huku kwetu wanauhitaji, hawa ni wachache tu ila bado wako wengi kijijini maisha yao ni changamoto "Alisema ndugu Kashilo Alais.


*JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KAZI IENDELEE*

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10% January 30, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • DED LONGIDO AFUNGUA MAFUNZO UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA

    May 14, 2025
  • MITUNGI 50 YATOLEWA KWA BABA NA MAMA LISHE WILAYANI LONGIDO

    April 17, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA WATOA ELIMU KUHUSU MPOX KATIKA SHULE YA SEKONDARI ENGARENAIBOR NA KETUMBEINE

    March 21, 2025
  • WWF NA BBC MEDIA ACTION WATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA JAMII JUU YA UHIFADHI WA MAZINGIRA

    March 21, 2025
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM