• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu,Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijinii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Usafishaji na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Maliasili na Utalii
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Rasilimali Asili na Hifadhi ya Mazingira
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasili na uhifadhi wa mazingira
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Leseni
    • Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti UKIMWI
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MH ANJELA KAIRUKI WAZIRI WA OFISI YA RAIS TAMISEMI AMEFUNGUA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WAJUMBE WA TIMU ZA UTEKELEZAJI WA MRADI WA BOOST NGAZI YA MKOA NA HALMASHAURI

Posted on: December 14th, 2022


Mafunzo ya kuwajengea uwezo wajumbe wa timu za utekelezaji wa mradi wa Boost ngazi ya Mkoa na Halmashauri yamezunduliwa rasmi mkoani Arusha na Mheshimiwa Angella Kairuki tarehe 13/12/2022 ikijumisha kanda ya kaskazini mikoa ya Arusha, Manyara na Singida

  Akizindua mafunzo hayo ya siku mbili kwa wajumbe takribani 274 wanaounda team ya kufanikisha mradi wa Boost katika ukumbi wa shule ya Sekondari Ilboru iliyoko mkoani Arusha  mh waziri Angela Kairuki amewaaomba wajumbe kusimamia mradi huo ambao umelenga katika kuborosha elimu katika ngazi ya shule za msingi kwa madarasa ya awali na darasa la kwanza , ikiwa ni samabamba na kuboresha mazingira ya nje na ndani ya kujifunza na kufundishia ikiwemo madarasa pia kuongeza ujuzi wa watoto ili waweze kuwa na uwezo wa  kuhesabu, kusoma na kuandika,kuongeza mzunguko kwa wanaomaliza elimu ya msingi ili kuweza kutimiza malengo yao na kuongeza umahili wa TEHAMA kuanzia ngazi ya awali mpaka chuo kikuu.

  Mradi huu wa Boost ni mpya na utatekelezwa katika mikoa yote 26 ya Tanzania mh waziri amewataka wajumbe kufuata taratibu na miongozo iliyowekwa na Ofisi ya Rais Tamisemi pia amewaasa waratibu wa mradi katika kutekeleza mradi huu kufuata taratibu za manunuzi bila kubadilisha pale panapobidi kubadikisha basi kutoa  taarifa ama ushauri kwenye ofisi husika yaani OR - TAMISEMI.

  Kutokana na tathmini iliyofanyika Serikali imepata udhamini wa kiasi cha Tsh Tirion 1.15 kwa ajili ya kukamilisha Afua nane zilizowekwa. Ili kuweza kukamilisha mradi huu wa Boost tunapaswa kuhakikisha tunafanya vizuri kwenye hafua zote nani kwani mradi huu ni "LIPA KWA MATOKEO"

  Nimefurahishwa na uundaji wa Team hizi katika Mikoa ili ikiwa ni kuwa na lengo la kufanikisha shughuli zote za elimu ivyo niwaombe wajumbe kukamilisha Afua zote zikiwemo pamoja na kujenga madarasa 12000 nchi nzima, utekelezaji wa shule salama 1000, kuongeza idadi ya uandikishaji kwa madarasa ya awali na darasa la kwanza, utekelezaji wa Elimu wa walimu kazini ili kuwajengea uwezo katika ufundishaji, utekelezaji wa TEHAMA, kuboresha zana za ufundishaji, sambamba na kuongeza idadi ya ufaulu wa wanafunzi.

  Aidha Waziri Angela ameitaka team kuwa makini wakati wa kujifunza ili kujua vema mradi na hatimae kuutekeleza vema kwa maslahi ya nchi kwa ujumla "ufanisi wa mradi huu uko mikononi mwetu"Alisema Mh Angela Kairuki

  Ili kuweza kufanikisha mradi huu team ya kusimamia mradi imeishauriwa kufuata masharti ya mradi ikiwa ni kuzingatia sheria, kanuni na mwongozo wa mradi,utunzaji wa nyaraka zote muhimu kwa usahihi, mipango itayopangwa ifuatwe bila kuchepushwa kwa namna nyingine, kuimirisha uhusiano mzuri na jamii, kuepuka mianya yote ya rushwa katika utekelezaji wa mradi, kufanikisha mradi kwa muda uliowekwa.

  Niwaombe ndugu zangu tuwe mfano mzuri katika kutekeleza mradi na sio kukwamisha maana sheria itachukuliwa kwa yeyote atakaebainika kuwa chanzo cha kukwamisha mradi hii ni kwa maslahi mapana ya nchi yetu.

 Aidha waziri amemshukuru Dr Samia Suluhu Hasaan kwa kuona ipo haja ya kuborosha shule zetu za msingj hususani kwa madarasa ya awali na darasa la kwanza.

*KAZI IENDELEE

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    August 07, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WILAYANI LONGIDO WALA KIAPO CHA UADILIFU

    August 05, 2025
  • SHIRIKA LA MONDO TANZANIA LAKABIDHI MAGODORO 32 KWA WANANFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE YA MSINGI LONGIDO

    July 30, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • View All

Video

LONGIDO YASHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE YANAYOFANYIKA VIWANJA VYA THEMI - NJIRO ARUSHA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.