• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu,Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijinii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Usafishaji na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Maliasili na Utalii
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Rasilimali Asili na Hifadhi ya Mazingira
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasili na uhifadhi wa mazingira
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Leseni
    • Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti UKIMWI
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MWANAFUNZI LONGIDO SEKONDARI AIBUKA KIDEDEA UANDISHI WA INSHA NCHI ZA SADC.

Posted on: August 30th, 2019

Mwanafunzi  Cynthia John Masuka wa kidato cha sita mchepuo wa (CBN) Longido sekondari amekuwa mshindi wa kwanza Tanzania katika uandishi wa Insha. Uandishi huo wa insha ulio jumisha Nchi kumi na sita za  (SADC) Chini ya mwenyekiti wa SADC ,Rais wa Jamuhuri ya Muangano wa Tanzania John Pombe Magufuli, uandishi huu uliohusiha shule zote Tanzania kuanzia ngazi ya shule za wilaya, mikoa hadi Taifa kwa ujumla, ambapo walipatikana washindi wa tatu (3) kitaifa, walioweza kushiriki na kushinda uandishi wa Insha( SADC), 

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Longido Jumaa Mhina amempongeza mwanafunzi huyo leo hii  tarehe 30/8/2019  wakati walipofika ofisini kwake akiambatana na afisa Elimu Sekondari Mwalimu Gerson Mtera,Mwalimu Mkuu  Daniel Temu na Mwalimu wake wa somo la kiingereza  mwalimu Reachel Boniface. Aliwapongeza wote kwa jitihada wanazozifanya kuhakikisha kuwa wanaitangaza Longido ipasavyo katika sekta ya elimu na kumuahidi mwanafunzi huyo zawadi itakayo tolewa na Halmashauri. 

Pia Mkurugenzi alimshauri mwanafunzi Cynthia John Masuka kufanya bidii katika kukuza kipaji chake cha uandishi kwani kitaweza kumsaidia, na baadae anaweza akawa mwandishi bora wa vitabu mbalimbali, pia alimshauri kutumia mitandao ya kijamii kwa manufaa yake ya kielimu.

Mwanafunzi Cynthia J. Masuka aneleza kuwa alifurahi sana kupata ushindi huo, ambapo alizawadiwa tuzo bora ya uandishi wa Insha na Laptop aina ya HP, zawadi hizo amekabidhiwa na Mwenyekiti wa SADC, Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania John  Pombe MagufuliMwanafunzi Cynthia J. Masuke alishukuru sana Walimu wake na wanafunzi wenzake waliompa ushirikiano katika mafanikio yake.

Cynthia J Masuke, alishauri kuwa wanafunzi wenzake wawe na tabia ya kusoma vitabu mara kwa mara kwani itawasaidia kupata misamiati toshelevu katika kujibu mitihani yao pia kushinda nafasi kama alivyo shinda yeye. Alishauri ushirikiano mzuri baina ya wanafunzi na walimu kuwa ni chanzo cha mafanikio bora kwa mwanafunzi, alisisitiza walimu kuwashauri wanafunzi mara kwa mara ili wafanye vizuri katika masomo yao.

Afisa elimu sekondari Halmashauri ya wilaya Longido,Gerson Mtera alimshukuru Mkurugenzi kwa pongezi, pia alimpongeza mkuu wa shule ya sekondari Longido Daniel Temu pamoja na jopo la walimu wenzake kwa jitihada wanazo fanya kuwafundisha wanafunzi na kuipatia shule yetu jina kubwa kitaifa.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    August 07, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WILAYANI LONGIDO WALA KIAPO CHA UADILIFU

    August 05, 2025
  • SHIRIKA LA MONDO TANZANIA LAKABIDHI MAGODORO 32 KWA WANANFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE YA MSINGI LONGIDO

    July 30, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • View All

Video

LONGIDO YASHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE YANAYOFANYIKA VIWANJA VYA THEMI - NJIRO ARUSHA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.