• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu,Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijinii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Usafishaji na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Maliasili na Utalii
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Rasilimali Asili na Hifadhi ya Mazingira
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasili na uhifadhi wa mazingira
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Leseni
    • Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti UKIMWI
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MKUTANO WA KUENDESHA JUKWAA LA WANAWAKE NA VIJANA NDANI YA WILAYA YA LONGIDO

Posted on: January 15th, 2018

Katika kutetea usawa,uwajibikaji,na utawala bora kwa jamii Chama cha wanasheria wanawake Tanzania(TAWLA) kimefanya mkutano wa jukwaa la wanawake na vijana  katika halmashauri ya wilaya ya longido mkoani Arusha leo tarehe 15/01/2018.

 Mikutano kama hiyo imefanyika katika mikoa mitatu Tanzania nayo ni mkoa wa   Arusha,Mwanza na Tanga na kufanyika kwa majimbo matano katika mkoa wa  Arusha ikiwa ni Arumeru
 ( magharibi& mashariki) karatu,monduli na longido. Na lengo kuu ni  kuhamasisha wanawake na  vijana  kushiriki katika  nyanja mbalimbali  za
 uongozi kisiasa katika uchaguzi utakao fanyika 2019/2020.

 Wakati akihutubia mkutano huo aliyekuwa mgeni rasmi ndg. Toba Nguvila ameeleza kuwa TAWLA kushirikiana na wadau wengine wa maendeleo wamekuwa kipaumbele kuhakikisha wanawake na vijana  wanatambua haki zao za msingi kwa kushiriki katika  nyanja mbalimbali za uongozi kisiasa huku wakimwunga rais mkono kuwa haki na
 Usawa katika uongozi ni kazi tu katika utendaji.

 Pia kwaupande wao wananchi wameweza kutoa changamoto na maoni yao juu ya changamoto ambazo zinapelekea wanawake na vijana wengi kushindwa kuwania nafasi mbalimbali katika uongozi  ambazo ni   1; mfumo dume 2; uchu wa madaraka 3;kukosa ujasiri 4;maswala ya kiuchumi 5;imani potofu 6; mfumo duni kielimu 7 ; mifumo ndani ya vyama vya siasa 8; kujijengea imani kuw kijana nitaifa la kesho hivyo hapaswi kugombea kwa sasa.

 Vilevile wametoa maoni yao kuwa  ili kutatua matatizo hayo  ni vyema kuondokana  na fikra potofu,rushwa,chuki na mifumo ndani ya vyama vya siasa.

 Hivyo basi wadau hao wa TAWLA  ambao ni maafisa wanasheria ndg.Ekaria michael,Neema  Ahmed na Silivia Hatbeti wameeleza kuwa pamoja na uhamasishwaji wa wanawake na vijana  pia wame anzisha miradi mbalimbali na kwa sasa wakitekeleza mradi wa  ( WYPRE)  woman & youth Politica Representation Enhanced wenye lengo  la kuongeza ushiriki wa wanawake na vijana  watakaowania nafasi mbalimbali katika uchaguzi ujao yaani  uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu 2020.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    August 07, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WILAYANI LONGIDO WALA KIAPO CHA UADILIFU

    August 05, 2025
  • SHIRIKA LA MONDO TANZANIA LAKABIDHI MAGODORO 32 KWA WANANFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE YA MSINGI LONGIDO

    July 30, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • View All

Video

LONGIDO YASHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE YANAYOFANYIKA VIWANJA VYA THEMI - NJIRO ARUSHA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.