• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu,Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijinii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Usafishaji na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Maliasili na Utalii
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Rasilimali Asili na Hifadhi ya Mazingira
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasili na uhifadhi wa mazingira
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Leseni
    • Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti UKIMWI
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mkuu wa mkoa ahitimisha ziara yake Wilayani Longido

Posted on: May 16th, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh.Mrisho Mashaka Gambo ahitimisha ziara yake ya siku tatu wilayani Longido.


Mh Gambo amehitimisha ziara hiyo tarehe 16/5/2018 ambayo ilianza tarehe 14/5/2018 kwa kupitia hoja za CAG pamoja na wataalam wa Halmashauri ya Longido, lakini pia alipata muda wa kuongea na wananchi wa kata ya mundarara na kusikiliza changamoto zote ikiwa ni pamoja na changamoto ya miundombinu na kuaidi kuitatua kupitia TARURA lakini pia changamoto ya mawasiliano kwani hakuna mtandao wa simu unaopatikana katika kata ya mundarara na kuahidi kulifanyia kazi ndani ya muda mfupi

Aidha Mhe Gambo alikagua vituo vya afya vinavyojengwa vya Eworendeke na Engarenaibor na kupongeza hatua iliyofikiwa katika ujenzi huo unaojengwa kwa kutumia mafundi (force account) na kusimamiwa na Mhandisi wa Ujenzi wa Halmashauri.

Kadhalika Mh.Gambo aliweka jiwe la msingi katika Maabara ya shule ya sekondari ya Ketumbeine na kuongea na walimu wa shule hiyo ambapo akiweza kuelezewa changamoto zinazowakabili na kutoa ahadi ya kuzifanyia kazi

Mh. Gambo alihitimisha ziara yake kwa kukagua chanzo cha Maji  cha mto Simba wilayani siha kinacholeta maji Longido.

Katika ziara yake Mh.Gambo aliongozana na Mkuu wa Wilaya ya Longido Mh.Daniel Chongolo,  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Mwl.Gerson Mtera,  Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri Mh.Esupat Ngulupa ,Wataalam kutoka Sekretariet ya Mkoa ikiongozwa na Katibu Tawala Ndg Richard Kwitega. Pia walikuwepo wakuu wa idara na vitengo wa Halmashauri ya Longido na Waandishi wa habari.

Mh.Gambo  aliwashukiru Watumishi na kuwaasa wafanye kazi kwa bidii kwani Serikali yao chini ya uongozi wa Rais John Pombe Magufuli ina nia njema na ya dhati kwa watumishi.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    August 07, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WILAYANI LONGIDO WALA KIAPO CHA UADILIFU

    August 05, 2025
  • SHIRIKA LA MONDO TANZANIA LAKABIDHI MAGODORO 32 KWA WANANFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE YA MSINGI LONGIDO

    July 30, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • View All

Video

LONGIDO YASHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE YANAYOFANYIKA VIWANJA VYA THEMI - NJIRO ARUSHA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.