• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu,Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijinii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Usafishaji na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Maliasili na Utalii
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Rasilimali Asili na Hifadhi ya Mazingira
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasili na uhifadhi wa mazingira
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Leseni
    • Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti UKIMWI
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mkuu wa Wilaya Longido Mhe.Frank James Mwaisumbe Azindua Kampeni ya Chanjo ya Surua Rubella na Polio

Posted on: October 13th, 2019

Mkuu wa wilaya ya Longido Ndugu Frank James Mwaisumbe leo tarehe 17-10-2019 amezindua kampeni shirikishi ya kitaifa kwa ajili ya chanjo ya SURUA RUBELLA (MR) na POLIO YA SINDANO (IPV) katika kituo cha afya cha Longido itakayowahusisha Watoto wote wenye umri wa miezi 9 hadi 59 chini ya miaka mitano. Kampeni hii ni ya siku tano kuanzia tarehe 17-10-2019 hadi 21-10-2019 katika vituo mbalimbali ndani ya wilaya yetu ya Longido kila siku  kuanzia saa 2.00 asubuhi hadi saa 11.00 jioni.

Katika kampeni hiyo mganga mkuu wa wilaya Dokta Justice Munisi alitoa takwimu ya utoaji chanjo hizi ambapo kitaifa ilianza mwaka 2014 na ilipangwa itakuwa inafanyika kila baada ya miaka minne kwa lengo la kampeni hii ni kuhakikisha Watoto wote wenye umri chini ya miaka mitano wanapata chanjo hii.

Pia Dokta Justice Munisi alisema kuwa kwa mwaka huu 2019 wilaya ya Longido imepanga kuwachanja Watoto 23691 kwa chanjo ya SURUA RUBELLA na 10890 kwa chanjo ya POLIO YA SINDANO.

Mwisho mkuu wa wilaya ndugu Frank Mwaisumbe aliwasisitiza wananchi juu ya umuhimu wa chanjo kwa Watoto wetu mana bila chanjo hata sisi tusingekuwa hapa na kuwahasa kuwa wajumbe hata kwa wazazi ambao hawakuwaleta Watoto hapa leo wawalete ili wapate chanjo mana itakuwa kazi bure kwani lengo ni kila mtoto apate chanjo hii. Pia alisisitiza kuwa chanjo hizi ni bure zinapatikana bila malipo hii inatokana na ulipaji kodi wetu mzuri ndio mana serikali imeamua kutuletea chanjo bure.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    August 07, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WILAYANI LONGIDO WALA KIAPO CHA UADILIFU

    August 05, 2025
  • SHIRIKA LA MONDO TANZANIA LAKABIDHI MAGODORO 32 KWA WANANFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE YA MSINGI LONGIDO

    July 30, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • View All

Video

LONGIDO YASHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE YANAYOFANYIKA VIWANJA VYA THEMI - NJIRO ARUSHA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.