• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu,Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijinii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Usafishaji na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Maliasili na Utalii
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Rasilimali Asili na Hifadhi ya Mazingira
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasili na uhifadhi wa mazingira
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Leseni
    • Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti UKIMWI
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI MHESHIMIWA CHONGOLO AWAAGA RASMI WATUMISHI WA HALMASHAURI YA LONGIDO

Posted on: August 11th, 2018

Mkuu wa wilaya ya Kinondoni  , mheshimiwa Daniel G.Chongolo amewaaga rasmi watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Longido na kuwakabidhi kwa Mkuu wa wilaya mpya ya Longido Mheshimiwa Frank Mwaisumbe hapo jana,

Akiongea wakati wa makabidhiano hayo mheshimiwa Chongolo amesema  anawaamini watumishi wa longido hana shaka nao ni wachapakazi na wamekuwa msaada mkubwa kwake kwani bila wao asingeweza kutimiza majukumu yake ipasavyo.

Hata hivyo  amewataka watumishi wa halmashauri ya Longido kumpa ushirikiano mkubwa Mheshimiwa Mwaisumbe kama ule aliokuwa anapewa yeye  katika kipindi chote alichofanya kazi Wilaya ya Longido.

Mheshimiwa Chongolo amekiri,  kuridhishwa na uwezo wa watumishi wa halmashauri ya Longido na hakusita kuwapongeza watumishi hao mbele ya mkuu huyo mpya wa wilaya ya Longido

" Mheshimiwa mkuu wa wilaya ya Longido,Watumishi hawa wana uwezo mkubwa wa kufanya kazi  ukiacha kasoro ndogondogo sina shaka nao hata kidogo na uwezo wao wa kufanyakazi kwa weledi amesema Mheshimiwa Chongolo.

Ameongeza kuwa, kwa kipindi  alichofanyakazi wilaya ya Longido,  amekiri kuona utendaji uliotukuka wa watumishi wa halmashauri ya Longido wa kujikita zaidi kwenye kazi  za kuhudumia wananchi.

Nao watumishi wa halmashauri ya Longido, wamempongeza mkuu huyo wa wilaya ya Kinondoni na kuthibitisha kuwa wamefanikiwa, kujifunza mambo mengi kutokana na weledi wa kufanya kazi na kujitoa kwa Mheshimiwa chongolo.  amekua akituonyesha mwelekeo ametuonyesha dira hakika tutamkumbuka sana Mheshimiwa Chongolo wamesema watumishi hao.

Wamesema kuwa uchapakazi na kujitoa kwa Mheshimiwa Chongolo, , ni funzo kubwa kwa watumishi wa halmashauri ya Longido na kuahidi kuendeleza  katika kuwatumikia wananchi wa Longido.

Naye Afisa Manunuzi , halmashauri ya Longido, Cleophas Tenganamba amesema kuwa amejifunza, kujishusha na uchapakazi na urafiki aliojenga bila kujali hadhi yake pamoja na kutumia muda  zaidi katika kufuatilia jambo.

" Mheshimiwa Chongolo ni kiongozi anayefatilia jambo na mnatekeleza wote kama sehemu ya mtumishi ni wa tofauti sana na viongozi wengine licha ya kuwa na cheo kikubwa,  lakini ni bado ni anayejishusha, mwenye kusikiliza na kufanyia kazi jambo  kwa muda kabla ya kufanya maamuzi, kifupi ni kiongozi  mchapakazi" na namuombea sana kwa Mungu ambariki amesema Afisa Manunuzi huyo.

Mkuu wa Wilaya ya Longido Mheshimiwa Frank Mwaisumbe akiongea wakati wa makabidhiano hayo amesema kikubwa anaomba ushirikiano na nguvu zaidi iongezwe kwenye ukusanyaji wa mapato ya serikali na kuzuia mianya yote ya upotevu wa mapato.

"Nitaifanya longido iwe kitovu cha utalii, utalii wa picha,utalii wa ndege n.k ili kuongeza mapato katika wilaya yetu"  amesema mheshimiwa mwaisumbe.

Pia amewataka watumishi kila mmoja asimame katika nafasi yake na kufanya kazi kwa weredi ili kuleta ufanisi na ubora na amehaidi kufuatilia na kutetea maslahi ya watumishi wote bila upendeleo wowote.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    August 07, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WILAYANI LONGIDO WALA KIAPO CHA UADILIFU

    August 05, 2025
  • SHIRIKA LA MONDO TANZANIA LAKABIDHI MAGODORO 32 KWA WANANFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE YA MSINGI LONGIDO

    July 30, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • View All

Video

LONGIDO YASHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE YANAYOFANYIKA VIWANJA VYA THEMI - NJIRO ARUSHA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.