• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AIPONGEZA LONGIDO KWA USIMAMIZI MZURI WA FEDHA ZA UVIKO-19.

Posted on: September 15th, 2022
  1. I'mNa Mwandishi Wetu.

Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ameipongeza halmashauri ya Longido Mkoa wa Arusha Kwa usimamizi mzuri wa fedha za UVIKO 19 walizopatiwa kwa ajili ya ujenzi wa jengo la wagonjwa mahututi kwenye hospital ya wilaya(ICU).

JENGO LA  ICU -HOSPITALI YA WILAYA

Alisema serikali imejenga majengo Kama hayo 25 nchi nzima kwenye hospital za wilaya na 75 katika vituo vya afya,aidha alieleza kuwa ujenzi wa majengo hayo utasaidia kuokoa maisha ya wannachi kwa kuwa huduma imesogezwa karibu.

Alisema hayo katika ziara ya kikazi alipotembelea  jengo Hilo la ICU Lenye thamani ya Sh.million 250 na kukagua mradi wa maji kimoukwa _Namanga uliogharimu zaidi ya sh.Bilion 6,na kueleza kuwa wananchi wa mji wa Namanga walikua wakiteseka kwa miaka mingi bila maji safi na salama lakini serikali imetambua changamoto hiyo na kuchukua hatua.

TANKI LA MAJI KIMOKOUWA 

"Hapa ni lango la biashara Kati ya Kenya na Tanzania,fanyeni biashara zenu kwa Amani mradi huu ni endelevu na mtanufaika nao zaidi,nimeambiwa hapa maji yanapatikana zaidi ya Lita million 4 ni mengi" alisema Msigwa.

Miradi iliyotembelea ni Mradi wa Maji Tanki la Kimokouwa,Kiwanda Cha nyama Cha Elia food overseas ambacho kinanifaika na mradi huo mkubwa wa maji kutoka siha mkoani Kilimanjaro wenye kilomita zaidi ya 75 ,mradi wa maji Namanga pamoja na ujenzi wa jengo la ICU hospital ya wilaya ya Longido.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO September 04, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • VIONGOZI WA DINI WILAYA YA LONGIDO WATOA TAMKO JUU YA UCHAGUZI MKUU WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI

    October 23, 2025
  • WANAFUNZI 5,188 KUFANYA UPIMAJI WA KITAIFA DARASA LA NNE LONGIDO

    October 21, 2025
  • WWF YADHAMIRIA KUREJESHA MAZINGIRA ASILIA YA LONGIDO

    October 20, 2025
  • MATUKIO KATIKA PICHA SIKU YA PILI YA MAFUNZO YA WWF KWA VIONGOZI WA DINI, VIJIJI NA VIONGOZI WA KIMILA KUHUSU UHIFADHI WA MAZINGIRA LONGIDO

    October 16, 2025
  • View All

Video

KAMATI YA AMANI NA HAKI WILAYANI LONGIDO YATOA TAMKO LA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.