• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu,Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijinii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Usafishaji na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Maliasili na Utalii
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Rasilimali Asili na Hifadhi ya Mazingira
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasili na uhifadhi wa mazingira
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Leseni
    • Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti UKIMWI
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

SHEREHE YA MAHAFALI YA KUWAAGA WANAFUNZI WA DARASA LA SABA SHULE YA MSINGI KITUMBEINI

Posted on: August 30th, 2017

NA.Johnson Ismail.

        Shule ya Msingi Kitumbeini Imefanya Mahafali ya Kuwaaga Wanafunzi wa darasa la Saba wanao tarajia kufanya Mtihani wao Wiki ijayo tarehe 4 na kuhitimisha tarehe7 mwezi wa 9 Mahafali hayo yaliyo hudhuriwa na Viongozi wa Halmashauri, Dini, Kata, Vijiji, Vitongoji, Walimu ktoka shule mbalimbali za wilaya,Wazazi na Wageni wengine wengi  kwaajili ya kuwaaga wanafunzi hao.

       Hata hivyo  Mgeni Rasmi aliye hudhuria kwa niaba ya Mkuu wa wilaya ya Longido Mwl.Gerson Mtera Ambaye ni Afisa Elimu Sekondari wa Halmashauri ya W/Longido.  Alianza Hotuba yake kwa kuwashukuru watu wote walio hudhuria wakiwemo World Vision wasaidizi wa kubwa wa maendeleo ya shule Wanafunzi wanao hitimuwazazi kwa walimu wote.

      Aidha Mwl,Mtera  Alitoa Wito kwa Wazazi kugharamikia mambo ya Msingi kama Sare,Matibabu,na kuhakikisha wanachangia katika kuboresha Miundo mbinu naAliwasisitiza Wanafunzi na Wazazi kuhusiana na umuhimu wa elimu na Kuachana na Ujinga wa ktosoma,Utoro ama kutosomesha watoto kwasababu ya shughuli za ufugaji, kushurutisha watoto kuto kukufanya vizuri darasani ili kuoana ,pia Swala la mimba ambalo hawata fumbia macho na kuwa taka wanafunzi kuzingatia swala la Elimu tu na si maswala mengine.

       Hata hivyo nae Afisa Elimu Taaluma wa Halmashauri alizungumzia Swala la Ufaulu mzuri wa wanafunzi wa Kitumbeini kuanzia Mwaka 2014 hadi Mwaka jana ambapo mwaka jana shule ili weza kuwa ya kwanza Kiwilaya na Kimkoa na kuwaasa kuwa makini katika ujazaji wao wa Mitihani Kwana kushuka kwa Ufaulu kuna letwa na wao wenyewe pia kupanda kwa ufaulu kunachangiwa na wao wenyewe na kuwaambia ilishule ibaki kuwa na Sifa nzuri ni lazima wajitahidi.

       Pia Mahafali hayo yali hitimishwa na Harambee iliyo fanyika kwaajili ya kupata fedha za ujenzi wa nyumba ya walimu,Harambee hiyo iliyo simamiwa na Mgeni Rasmi ili kusanya kiasi cha Sh; LakiTanoelfu hamsini na Tano na Miatano keshi, na Ahadi Milioni Sita kutoka kwenye vijiji. Mgeni rasmi mwl Mtera alimalizia Harambee kwa kuomba uaminifu katika Ahadi zilizo ahidiwa ili kuendelea kujenga shule zetu.


Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    August 07, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WILAYANI LONGIDO WALA KIAPO CHA UADILIFU

    August 05, 2025
  • SHIRIKA LA MONDO TANZANIA LAKABIDHI MAGODORO 32 KWA WANANFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE YA MSINGI LONGIDO

    July 30, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • View All

Video

LONGIDO YASHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE YANAYOFANYIKA VIWANJA VYA THEMI - NJIRO ARUSHA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.