• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu,Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijinii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Usafishaji na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Maliasili na Utalii
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Rasilimali Asili na Hifadhi ya Mazingira
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasili na uhifadhi wa mazingira
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Leseni
    • Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti UKIMWI
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

SHIRIKA LA WORLD VISION LAWAAGA WANANCHI WA KETUMBEINE .

Posted on: August 30th, 2023


"Nashindwa niseme kwaheri World vision  au niseme nini? Ila tuache hivyo hivyo hewani , ni imani yangu kubwa mtarudi tena kuwasaidia watu wa Ketumbeine "Ni maneno yake Mheshimiwa Marco Henry Ng'umbi mkuu wa wilaya ya Longido

leo tarehe  30/08/2023 kwenye viwanja vya Ketumbeine alipokuwa akiliaga rasmi Shirika la World vision lilokuwa limejikita kwenye miradi mbali mbali ya Maendeleo kwa takribani miaka kumi na mitano kwa wananchi wa Kata ya Ketumbeine.

Shirika la World vision ambalo linafadhiliwa na nchi ya Canada lilianza shughuli zake katika kata ya Ketumbeine kwenye Halmashauri ya Wilaya ya Longido mnamo mwaka 2009 Amabapo lilianza rasmi kutekeleza miradi mbali mbali ya maendeleo  kwenye Tarafa hiyo yenye kata takribani 6 zenye shule na vituo vya Afya mbapo leo limekamilisha muda wake Wilayani humo

Shirika hili limekuwa likitoa misaada mbali mbali kwa jamii hiyo ya Ketumbeine katika nyanja tofauti kama chakula kwenye shule za msingi likiwa na lengo la kuongeza na kuhamasisha  watoto waweze kusoma bila usumbufu wowote na kutengeneza mazingira bora ya kujifunza,Sambamba na hilo Shirika limejenga bweni kwa ajili ya watoto wa kiume ili kuwasaidia watoto wanaotoka kwenye jamii ya wafugaji hasa wanaotoka mbali na kutembea kwa umbali mrefu World vision pia imetoa msaada kwenye idara ya Afya kwani limejenga jengo la mama na mtoto kwenye Kituo cha Afya Ketumbeine, jengo hilo limeanza kutumika kwa kuzalisha na kutoa huduma ya Afya ya  mama na mtoto, Sambamba na hilo pia Shirika limetoa msaada wa kiuchumi kwa wakazi wa kata ya Ketumbeine yaani vijiji vya Noondoto, Gelai Lumbwa, Gelai Merugoi Ilerienito Elang'hatadapash, pamoja na Ketumbeine yenyewe kwa kuwapatia wananchi hao mbuzi, kondoo  na  Ng'ombe ili waweze kujikwamua kiuchumi.

Akilishukuru shirika hilo Mh Ng'umbi amewaasa wananchi wa kata hiyo kuyatii na Kuyaendeleza yote mazuri yaliyofanywa na Shirika hilo ikiwa sambamba na kuahidi kusimamia vyema miradi iliyoachwa na Shirika hilo.

Naye mkurugenzi wa shirika la World vision amewashukuru Wananchi wa Tarafa hiyo kwa utulivu na ushirikiano wao waliouonesha kwa Shirika kipindi chote cha utekelezaji wa Miradi hiyo ya Maendeleo katika kata hiyo "Wanajamii wa Ketumbeine bado mko kwenye Mioyo ya World vision hivyo haitakuwa mwisho wa sisi kushirikiana nanyi katika mambo mbali mbali sisi tupo tutao msaada na ushauri pale mtakapo hitaji ushauri i wetu Asanteni sana. Alisema Mkurugenzi huyo

Akuzungumza Kwa niaba ya wananchi wa Ketumbeine mama Loserian Mollel amelishukuru shirika la World vision pamoja na Serikali kwa kuichagua Ketumbeine na kuleta miradi yenye Tija na manufaa kwa wananchi "Kweli kabisa tunashukuru sana mana sasa nimeweza miliki Ng'ombe wa Maziwa wananisaidia kupeleka watoto shule kuwanunulia mavazi wakati hapo mwanzo sikuweza kabisa" Alisema mama huyo mkazi wa Ketumbeine.

Shirika limefikia tamati katika kazi zake leo na imekabidhi miradi yote iliyotekelezwa kwa serikali ya Halmshauri ya Wilaya ya Longido ikiwa ni miradi ya Elimu, Afya Maji pamoja na miradi ya Kiuchumi.


*Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kazi iendelee*

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    August 07, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WILAYANI LONGIDO WALA KIAPO CHA UADILIFU

    August 05, 2025
  • SHIRIKA LA MONDO TANZANIA LAKABIDHI MAGODORO 32 KWA WANANFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE YA MSINGI LONGIDO

    July 30, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • View All

Video

LONGIDO YASHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE YANAYOFANYIKA VIWANJA VYA THEMI - NJIRO ARUSHA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.