• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Timu kutoka ofisi ya katibu mkuu Tamisemi imefanya ziara katika Miradi ya Mabadiliko hali ya hewa na Tabianchi wilayani Longido

Posted on: January 19th, 2018

Ziara ya ukaguzi wa miradi ya  inayotekelezwa  chini ya miradi ya kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa na tabia ya nchi  imefanywa na wataalam kutoka ngazi ya taifa ,mkoa ,wilaya katika wilaya ya longido leo tarehe 18/01/2018.

Mratibu wa miradi ya mabadiliko ya hali ya hewa na tabia ya nchi ndg.Ally msangi na mhandisi  Evarist Lelo wametoa ufafanuzi  kuhusiana na miradi hiyo kuwa katika  wilaya ya longido kwa sasa kuna miradi 14 inayoendelea kutekelezwa chini ya miradi ya mabadiliko ya hali ya hewa na tabia ya nchi itakayo gharimu  tshs.805,782,499.43 ikiwa ni gharama ya ujenzi na 727,243,499.43,usimamizi wa miradi wakati wa utekelezaji 41,598,000na mafunzo kwa kamati  za kusimamaia miradi  baada ya kukamilika 27,273,500  na ununuzi wa vifaa na madawa 21,585,000.


Vilevile wameorodhesha miradi hiyo kama ifuatavyo 1; miradi ya maji katika vijiji  vya Alaililai,Orbomba,Namanga, Kiserian na Eorendeke na kati ya  miradi hiyo  iliyoko Eorendeke, Alaililai,Orbomba imekamilikan na Namanga na Kiserian iko katika hatua ya mwisho kukamilika 2;mradi wa kununua vifaa na kukarabati kituo cha  afya cha mifugo  Tarafa ya Engarenaibor,3; miradi miwili ya ukarabati wa maji katika vijiji vya Matale'A' na Losirwa ipo katika  hatua ya  mwisho kukamilika, 4;Mradi wa kuhifadhi chanzo cha maji katika kijiji cha Mairouwa ,5; Miradi miwili ya kujenga  vibanio vya mifugo vijiji vya Irkaswa na Olmolog na kukarabati  Josho Moja  katika kijiji cha  Lerangwa na 6; miradi miwili ya maghala  katika vijiji  vya Ildonyo na Mairouwa.


Pia kiongozi wa msafara huo kutoka ofisi ya  katibu mkuu wa TAMISEMI Dr.komba  ngazi ya Taifa  amewasisitiza wananchi kwa ujumla kwamba pamoja na  kuwa ujenzi wa miradi hiyo inaendelea kutekelezwa ni wajibu kila mmoja kuitunza miradi hiyo ili iweendeleza na kutumiwa na kizazi kijacho na kuwa taka wahandisi wate wanaohusika na shughuli hiyo ya  ujenzi wawe makini  na kuhakikisha miradi inakamilika  kwa muda mwafaka  kwani tofauti na hapo hakuna malipo yoyote itafanyika kwa atakaye vuka muda wa makubaliano ya mikataba iliyosainiwa.


Hata hivyo  mwenyekiti  wa kamati  ya mabadiliko ya hali hewa na tabia ya nchi  ndg.Michael Saytoti ameweza kuaandaa taarifa ya  kila mradi ambapo imeeleza changamoto , manufaa na wanufaika wa miradi hiyo kuwa changamoto kubwa ni  uhaba wa maji hali inayosababisha ukame na kudidimia kwa uchumi na hata magonjwa yatokanayo na  ukosefu wa maji hivyo manufaa  ya miradi hiyo nikuwa inua kiuchumi,kimaendeleo na kupungua kwa magonjwa ya mlipuko na ya mifugo  na kupungua kwa hali ya ukame na njaa kutokana na uhifadhi wa chakula kipindi cha mavuno na kutumika kipindi cha njaa.


Hivyo basi  mkuu wa wilaya ya longido ndg.Daniel G. Chongolo na kaimu mkurungenzi  wa halmashauri ya wilaya ya Longido ndg.Geryson mtera wameshukuru sana kwa ziara hiyo fupi iliyofanyika ndani ya wilaya ya longido huku wakiwaomba wataalamu hao wasisite kuwaambia mapungufu watakayoyaona katika miradi hiyo na kuwaahidi kuwa ndani ya siku 14 zijazo watakuwa  wamekamilisha miradi hiyo.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10% January 30, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • DED LONGIDO AFUNGUA MAFUNZO UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA

    May 14, 2025
  • MITUNGI 50 YATOLEWA KWA BABA NA MAMA LISHE WILAYANI LONGIDO

    April 17, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA WATOA ELIMU KUHUSU MPOX KATIKA SHULE YA SEKONDARI ENGARENAIBOR NA KETUMBEINE

    March 21, 2025
  • WWF NA BBC MEDIA ACTION WATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA JAMII JUU YA UHIFADHI WA MAZINGIRA

    March 21, 2025
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM