• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

MHE. SIMON OITESOI LAIZER AIBUKA KIDEDEAMAKAMU MWENYEKITI WA HALMSHAURI YA WILAYA LONGIDO

Posted on: September 5th, 2019

Mhe. Simon Oitesoi Laizer ameshinda kwa kishindo kikubwa  kwa nafasi ya makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya Longido, Mhe. Simon Oitesoi ambaye ni Diwani wa kata ya Gelai Lumbwa, ameshinda kwa kura nyigi za ndio zilizopigwa na waheshimiwa madiwani katika kikao cha mwisho wa mwaka kilicho fanyika leo tarehe 05.09.2019 katika ukumbi wa mikutano wa J.K. Nyerere ndani ya Halmashauri ya wilaya Longido. Akizungumza na Baraza la madiwani pamoja na wakuu wa idara za Halmashauri ya wilaya Longido alishukuru  kwa nafasi walioweza kumpa ridhaa ya kuwa makamu mwenyekiti wa Halmashauri kwa mwaka 2019 2020 zaidi ya yote aliomba ushirikiano mkubwa kwa viongozi wenzake ili kuwez kuwatumikia wana nchi wa Longido waliotuamini katika nafasi hizi. Pia alimshukuru sana  Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya Mhe. Sabore Molloimet pamoja na Makamu mwenyekiti aliemaliza muda wake Mhe. Esupat Ngulupa kwa maendeleo waliofanya kwa kipindi chote cha uongozi. Katika kikao hicho cha uchaguzi kilicho simamiwa na  Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya  wilaya wakili Jumaa Mhina  alisimamia uchaguzi wa kamati mbalimbali za kudumu za Halmashauri kamati hizo ni kamati ya Utawala fedha na mipango, Elimu afya na maji, kamati ya kuthibiti UKIMWI, Uchumi  ujenzi na maingira pamoja na kamati ya maadili ya madiwani. Uchaguzi huo uliosimamiwa na wakili Jumaa Mhina uliofuata kanuni na sheria za Nchi na hata za Halmashauri ya wilaya kamati zote teule zilipewa nafasi ya kukaa na kumchagua mwenyekiti wake. Ambapo baada ya kamati hizo kuwapata wenyeviti waliounda kwapamoja kamati ya fedha Mwenykiti wa Halmashauri  ya wilaya Mhe. Sabore Molloimet aliwashukuru viongozi wenzake kwa uwajibikaji na kupongeza Mhe. Simon Oitesoi kwa nafasi aliyo weza kupata kuwa makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya Longido pia alisisitiza kwa waheshimiwa madiwani kuwa hakuna kamati iliyo bora kuliko nyingine kamati zote ni sawa na zote hufanya kazi ili kuendeleza wilaya yetu kwapamoja. Katibu tawala wa  wilaya ya Longido Toba Nguvila alisema kuwa uchaguzi huu uliofanyika ni wa haki na demokrasia pia alimpongeza mhe. Makamu mwenyekiti Simon Oitesoi kwa kuweza kushinda nafasi hiyo, alimshukuru pia aliyekuwa makamu Mwenyekiti Esupat Ngulupa kwa kuonyesha uwezo mkubwa wa kiuongozi kwa muda mrefu amesema kuwa katka jamii za kifugaji mwanamke kuongoza kwa nafasi kubwa kama alivyo kuwa Ngulupa inaonyesha ukuwaji mkubwa wa kidemokrasia hivyo alisema kuwa ana imani pia na makamu mwenyekiti wa sasa Mhe. Simon Oitesoi kwani ana msimamo na ni mchapa kazi.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO September 04, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • VIONGOZI WA DINI WILAYA YA LONGIDO WATOA TAMKO JUU YA UCHAGUZI MKUU WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI

    October 23, 2025
  • WANAFUNZI 5,188 KUFANYA UPIMAJI WA KITAIFA DARASA LA NNE LONGIDO

    October 21, 2025
  • WWF YADHAMIRIA KUREJESHA MAZINGIRA ASILIA YA LONGIDO

    October 20, 2025
  • MATUKIO KATIKA PICHA SIKU YA PILI YA MAFUNZO YA WWF KWA VIONGOZI WA DINI, VIJIJI NA VIONGOZI WA KIMILA KUHUSU UHIFADHI WA MAZINGIRA LONGIDO

    October 16, 2025
  • View All

Video

KAMATI YA AMANI NA HAKI WILAYANI LONGIDO YATOA TAMKO LA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.