• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

HALMASHAURI YATEKELEZA KWA ASILIMIA MIA AGIZO LA MH.RAISI KWA KUWAPATIA VIKUNDI 11 MKOPO USIO NA RIBA.

Posted on: October 31st, 2018

 Halmashauri ya wilaya ya longido Leo tarehe 31/10/2017  imetoa mkopo usio na riba wa fedha za kitanzania sh.42,630,000/- kwa vikundi  kumi na moja  vya kina mama, vijana na walemavu

Kaimu Mkuu wa idara ya maendeleo ya jamii Wilaya Nd. Raymond Mushi wakati wa sherehe za makabidhiano hayo amesema vikundi hivyo   ni vya Wanawake,Vijana na Walemavu ambavyo vinajishughulisha na ufugaji, ushonaji shanga na urembo wa kimasai,vikoba na biashara ndogondo.

Mushi amevitaja vikundi hivyo ni Tenebo,Nasaruni parmanja,,Osotwa,Yeyowomen group,Tobiko,Naramatisho,Mshikamano,Amani na Upendo,Upendo groupA2017,Nasaro na Nyangulo armanie.

 Pia Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido  Nd. Jumaa Mhina wakati wa makabidhiano hayo amesema pesa hizo zinazotolewa za mikopo  ni  za mapato ya ndani  ya Halmashauri ya Wilaya ya Longido na mkopo unatolewa  bila riba yoyote kwa vikundi vyote ikiwa ni kutekeleza agizo la  Mh Rais wa awamu ya tano  Mh.John Pombe Magufuli la kutoa asilimia 10%  ya mapato  ya ndani kwa wanawake asilimia 4%,vijana asilimia 4%, walemavu asilimia 2% na mkopo huo usio na riba kwa robo hii ya kwanza ya mwaka wa fedha 2018/2019 umetolewa kwa asilimia 100% .

Akikabidhi mikopo hiyo mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Longido ndg.Frank Mwaisumbe ,amewaasa wanavikundi kuwa pesa zinazotolewa Leo ni kwa ajili ya kukuza uchumi na kuongeza kipato cha wanavikundi na si kwa matumizi mengine lakini pia amewasisitiza kurudisha mikopo hiyo ili isaidie na  wahitaji wengine.

Nae Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi mkoa wa Arusha Ndg. Loth Sanare ameupongeza uongozi wa wilaya kwa kazi nzuri ya kufanya hitaji la kisheria la kutoa asilimia mia moja ya mkopo kwa vikundi mbalimbali lakini pia kuwa mstari wa mbele katika kushughulikia shida za wananchi kama anavyotutaka Mh.Rais wetu wa awamu ya tano  kuwa tushughulike na shida za wananchi.

Mwenyekiti Sanare pia ameviasa vikundi vyote kurudisha mikopo hiyo kwa wakati pindi muda utakapofika ili vikundi vingine vipate mikopo hiyo.

 Vile vile vikundi vilivyopata mikopo wametoa shukrani zao za dhati kwa Halmashauri ya Longido na kuahidi kutumia mikopo hiyo kama ilivyokusudiwa.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO September 04, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • VIONGOZI WA DINI WILAYA YA LONGIDO WATOA TAMKO JUU YA UCHAGUZI MKUU WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI

    October 23, 2025
  • WANAFUNZI 5,188 KUFANYA UPIMAJI WA KITAIFA DARASA LA NNE LONGIDO

    October 21, 2025
  • WWF YADHAMIRIA KUREJESHA MAZINGIRA ASILIA YA LONGIDO

    October 20, 2025
  • MATUKIO KATIKA PICHA SIKU YA PILI YA MAFUNZO YA WWF KWA VIONGOZI WA DINI, VIJIJI NA VIONGOZI WA KIMILA KUHUSU UHIFADHI WA MAZINGIRA LONGIDO

    October 16, 2025
  • View All

Video

KAMATI YA AMANI NA HAKI WILAYANI LONGIDO YATOA TAMKO LA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.