• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

HALMASHAURI YA LONGIDO YATOA MIKOPO YA SHILINGI MILIONI MIA MOJA KWA VIKUNDI.

Posted on: May 31st, 2022

Halmashauri  ya Wilaya ya Longido leo tarehe 31/05/2022 imetoa mkopo  usio na riba wa shilingi milioni mia moja(100.000,000/-) kwa  vikundi 17 vya Wanawake,Vijana na Wenye Ulemavu.Akikabidhi Hundi hizo Mkuu wa Wilaya ya Longido Mh.Nurdini Babu   ameagiza vikundi  vyote vilivyopatiwa mikopo na kushindwa kurejesha  anavipa muda wa Mwezi mmoja kurejesha fedha hizo kabla ya hatua kali za kisheria hazijachukuliwa dhidi yao. Mh.Babu amesema marejesho hayo ya mikopo itasaidia vikundi vingine kupatiwa mikopo hii. 

Pia Mwenyekiti wa Halmashauri Mh.Simon Oitesoi  amevitaka vikundi hivyo vilivyopatiwa mikopo kuwa mabalozi wazuri kwa kuhimiza ulipaji wa mapato ya Halmashauri kwani mikopo hiyo waliyopatiwa inatokana na mapato ya ndani ya Halmashauri na tunatekeleza ILANI ya Chama cha Mapinduzi kwa kutoa mikopo katika kila robo ya Mwaka..

Nae Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Ndg.Steven Ulaya  amesema ni takwa la kisheria kutoa asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa vikundi vya Wanawake,Vijana na Wenye Ulemavu,Na  kwa sasa serikali inataka pesa hizi zitolewe kwa vikundi vichache vyenye tija na safari hii kwa mara ya kwanza tumetoa milioni 20 kwa kikundi kimoja cha Wanawake,Pia Ulaya amesema ucheleweshwaji wa marejesho ya  Mikopo inasababisha Halmashauri kupata hoja za ukaguzi za CAG..

Vile vile Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Bi Grace Mghase amesema vikundi viliivyopatiwa mkopo ni vikundi vya Wanawake 7,Vijana 9 na watu wenye ulemavu kikundi kimoja. na Kikundi cha Wanawake kimepatiwa shilingi 57,000,000/-,Vijana Sh.45,000,000/- na Walemavu Sh.4,000,000/-.


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10% January 30, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • DED LONGIDO AFUNGUA MAFUNZO UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA

    May 14, 2025
  • MITUNGI 50 YATOLEWA KWA BABA NA MAMA LISHE WILAYANI LONGIDO

    April 17, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA WATOA ELIMU KUHUSU MPOX KATIKA SHULE YA SEKONDARI ENGARENAIBOR NA KETUMBEINE

    March 21, 2025
  • WWF NA BBC MEDIA ACTION WATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA JAMII JUU YA UHIFADHI WA MAZINGIRA

    March 21, 2025
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM