• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu,Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijinii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Usafishaji na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Maliasili na Utalii
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Rasilimali Asili na Hifadhi ya Mazingira
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasili na uhifadhi wa mazingira
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Leseni
    • Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti UKIMWI
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

VIONGOZI WA UMMA WAPEWA MAFUNZO YA MGONGANO WA MASLAHI LONGIDO

Posted on: May 29th, 2019

Viongozi wa Umma katika Halmashauri ya Wilaya ya Longido wamekumbushwa kuzingatia maadili ya viongozi katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku ili kuondoa mgongano wa Maslahi na kuleta ufanisi wa kazi Serikalini  leo  Mei 29, 2019.

Akitoa mafuzo kwa Watumishi wa Umma  Katibu Msaidizi Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Kanda ya Kaskazini-Arusha Anna Anthony Mbasha yaliyofanyika katika ukumbi wa Halmashauri (Nyerere) amefafanua kuwa viongozi wa Umma wamekuwa wakisahau majikumu stahiki pindi wanapotekeleza shughuli za kiserikali.

 Mbasha amesema kuwa Mgongano wa Maslahi kwa Watumishi wa Umma unakuja pale Mtumishi anapotumia Mdaraka kujinufaisha mwenyewe, kutumia muda wa Ofisi kufanya mambo yake, kutumia vifaa vya Ofis (Simu, Kompyuta n.k.) kutekeleza majukumu banafsi na mengine mengi ambayo yanalenga kunufaisha upande mmoja.

Hata hivyi Mbasha amesisitiza swala la kuwa na Kamati ya Maadili ya Viongozi wa Umma ya Wilaya, inayofanya kazi sambamba na Ofisi ya Mkurugenzi kwa kuhakikisha Watumishi hawaendi kinyume na matakwa ya Serikali.

Mwisho Mbasha ameendeelea kesema kuwa Viongozi wa Umma hawaruhusiwi kutoa ama kupokea zawadi yeyote kwa mto yeyote, kujirimbikizia Mali, kutumia Vyeo kuwanyanyasa wengine kwa maslahi ya aina yao wenyewe.

Awali akikaribisha Mafunzo hayo ambayo kimsing amesema yalifunguliwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjoaro Anna Mgwila kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Longido Katibu Tawala Toba Nguvila amesema kuwa Miradi inayotekelezwa na serikali inaweza kukwama kama Viongozi wa Umma watakosa uhadilifu.

Aidha Mguvila ameeleza kuwa Viongozi wamekuwa na Tabia ya kutaka kusimamia wenyewe Miradi inakuwa inatekelezwa na Serikali jambo ambalo upelekea Watumishi wenzao kushindwa kuwawajibisha pale unapokuwa na makosa ya chini ya Kiwango ile hali ya kuwa wote watumishi na wanatokea sehemu moja .

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido Mhe. Jumaa Mhina akifungua Mafunzo hayo amewataka Watumishi kuzingatia taratibu za kiutumishi, Maadili na Uadilifu wakati wote. “Viongozi wote wa Umma na wanasiasa tunatakiwa kuwajibika kikamilifu wakati wote tunapokuwa katika utekelezaji wa shughuli za serikali” Mhe. Mhina

Vilevila Mhe. Mhina amesema kuwa Selikali inayo Mihimili mitatu Mahakama, Bunge na Utawala ambazo zinatakiwa kuwajibika kutekeleza majikumu ya kiserikali ipasavyo na ndio maana katika mafunzo hayo viongozi wa haina hiyo wote wamejumuhishwa kuleta ufanisi. “Madiwani, Wakuu wa Idala zote, Maafisa wa polisi pamoja mafunzo haya yanawahusu kwa kiasi kikubwa ili kujikumbusha uadilifu, uwajibikaji katika kipindi chote cha uongozi” Mhe. Mhina.

KAIMU MWENYEKITI

Watu wanahitaji sana elimu yam AADILI KWA WAtumishi wa umma kwahiyo iendelee kuja hasa kwetu sisi viongozi ili tuendelee kutekeleza katika kutii uadilifu kwa wananchi.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    August 07, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WILAYANI LONGIDO WALA KIAPO CHA UADILIFU

    August 05, 2025
  • SHIRIKA LA MONDO TANZANIA LAKABIDHI MAGODORO 32 KWA WANANFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE YA MSINGI LONGIDO

    July 30, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • View All

Video

LONGIDO YASHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE YANAYOFANYIKA VIWANJA VYA THEMI - NJIRO ARUSHA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.