• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WADAU WA MAENDELEO WAKAA KIKAO CHA KUJADILI UWEZESHAJI WA KUPATIKANA MAENDELEO YA KASI (W)LONGIDO

Posted on: September 29th, 2017

Na Johnson Ismail

Approved By Joseph  Peter Mkumbwa. ICTO

          Kikao cha kujadili fursa mbalimbali za kuinua na kutumia raslimali zilizopo kwa maendeleo ya wananchi wa Wilaya ya Longido kutoka kwa wadau hao,kikao hicho kimefanyika mapema hii leo katika ukumbi wa Mwalim J.K.Nyerere.

          Kikao hicho kilicho endeshwa na Mkurugenzi Mtendaji Wakili Jumaa Mhina kujadili na kuweka mikakati ya kukabiliana na changamoto zinazo wakabili wananchi wa Wilaya ya Longido yenye Tarafa 4, Kata18, Vijiji49 na Vitongoji 176 Inayo kadiriwa kuwa na Wakazi142,597ya(sensa2017).

          Mkurugenzi Mtendaji Wakili Jumaa Mhina alizungumzia frusa za uwekezaji zilizopo katika Wilaya kuwa ni Eneo lakupaki magari makubwa nje ya mji wa Namanga lenye huduma za chakula na malazi,Viwanda vya kusindika nyama&machinjio yakisasa, Viwanda vya kusindika maziwa na bidha zake,Agriculture produce border market,Petrol stations,Garage kwa ajili ya service za magari.

        Pia Mkurugenzi Wakili Mhina alitoa frusa katika utoaji wa huduma za jamii ambazo ni ujenzi wa hospitali ya wilaya,Ujenzi wa miundo mbinu ya elimu ya sekondari  Madarasa 20 kwa shule 10,nyumba 2 za Waalimu(6 in1),Mabweni 10 kati ya shule5 za sekondari.

         Mkurugenzi Wakili Mhina alielezea changamoto mbalimbali za sekita ya Mifugo,Maendeleo ya jamii,Afya,Kilimo,Maji,Misitu,Biashara,Wanyama pori,Utawala bora,Ushirika na katika idara ya Elimu ya msingi.

         Kikao kilihudhuriwa na wadau mbalimbali wa ndani na nje ya Wilaya,Wadau walio shiriki ni  Maasai primary,Driling water,Trians Tanzania,Muhesi Safari,Sido,L.D.P,UCRT-maisha bora,Heifer international,Madihani,ShirikaLOOCIP,Ujenzi,Chakula cha mifugo,PCI,Childreach(Tz),Pastoral womens council,Kilombero north safaris,Maisha bora,Afya,Anapa,Convois of AOPE,Fees.

          Wadau hao walitoa mapendekezo yakuunda umoja wa wahisani wote wa ndani na nje ya Wilaya pia kutafuta watu wote walio soma katika wilaya ya Longido na kuwa kitu kimoja, kutumia rasili mali zinazo zunguka wilaya kuzibadili kuwa fedha,mawasiliano kuunda groap moja ili kujadili mambo ya maendeleo.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10% January 30, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • DED LONGIDO AFUNGUA MAFUNZO UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA

    May 14, 2025
  • MITUNGI 50 YATOLEWA KWA BABA NA MAMA LISHE WILAYANI LONGIDO

    April 17, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA WATOA ELIMU KUHUSU MPOX KATIKA SHULE YA SEKONDARI ENGARENAIBOR NA KETUMBEINE

    March 21, 2025
  • WWF NA BBC MEDIA ACTION WATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA JAMII JUU YA UHIFADHI WA MAZINGIRA

    March 21, 2025
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM