• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wafanyakazi Longido waadhimisha sikukuu ya Mosi

Posted on: May 1st, 2019

Wafanyakazi wa Halmashauri ya wilaya ya Longido Leo tarehe 01/5/2019 wameungana na wafanyakazi wote duniani  katika kuadhimisha sikukuu ya Wafanyakazi ambayo inafanyika Mei 1 kila mwaka ,Maadhimisho hayo yamebeba kauli mbiu ya "Tanzania ya Uchumi wa kati inawezekana  wakati wa Mishahara na Maslahi bora ya Wafanyakazi ni sasa" maadhimisho ambayo kitaifa yamefanyika huko jijini Mbeya na mgeni Rasmi akiwa Raisi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Joseph Magufuli.

Akipokea maadhimisho hayo katika viwanja vya polisi Longido mapema leo mgeni rasmi ambaye ni Mkuu Wilaya ya Longido  Mh. Frank James Mwaisumbe amesema kuwa Halmashauri ya Longido sasa imepiga hatua kubwa za maendeleo kwa kuanzisha, kuzindua na kuendeleza miradi ya maendeleo.

Mwaisumbe amefafanua kuwa kutokana na Wilaya hiyo kuwa na vyanzo vikubwa viwili ambavyo ni Uhifadhi na Ufugaji imepewa kipaumbele cha kuwa na mradi mkubwa wa Maji kwa sababu shughuli zote hizo zinahitaji maji na kuwa mradi huo unaweza kudumu kwa kutoa huduma stahiki kwa muda wa zaidi ya miaka 25.

Aidha katika kuboresha huduma za jamii serikali tayari imekwishawapatia zaidi ya billion 6.6 katika Afya, zaidi ya billion 7 katika Elimu, wameanzisha kiwanda kikubwa cha kuchakata Nyama na kwa siku kina uwezo wa kuchakata Ng’ombe 200-400 na Mbuzi 800 na kinatarajiwa kutoa ajira kwa zaidi ya watu 400 wakati huo Mai 29, wanatarajia kufungua soko la mifugo la kimataifa. 

 Kwa upande wake Mkurugenzi wa Halmashauri ya Longido Jumaa Mhina amebainisha kuwa sasa longido inaendelea safi kwani kipindi cha nyuma walikuwa wanakusanya takribani million 400 na sasa wanakusanya zaidi ya Billion 1 na wanamatarajio ya kukusanya zaidi ya Billion 2 mwakani.

Naye katibu tawala wa wilaya hiyo Toba Nguvila ameidhinisha kuwa nidhamu imepanda kwa sasa Longido imekuwa tofauti kwa wafanyakazi kwani mwaka huu hawajaondoa mfanyakazi hata mmoja kwa sababu zozote zile.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10% January 30, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • DED LONGIDO AFUNGUA MAFUNZO UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA

    May 14, 2025
  • MITUNGI 50 YATOLEWA KWA BABA NA MAMA LISHE WILAYANI LONGIDO

    April 17, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA WATOA ELIMU KUHUSU MPOX KATIKA SHULE YA SEKONDARI ENGARENAIBOR NA KETUMBEINE

    March 21, 2025
  • WWF NA BBC MEDIA ACTION WATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA JAMII JUU YA UHIFADHI WA MAZINGIRA

    March 21, 2025
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM