• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WAHISANI WANNE WASAINI MIKATABA YA HALMASHAURI KUTOKA KWAWAFADHILI (IID)

Posted on: October 10th, 2017

        

              Na Johnson Ismai 

         Mikataba hiyo imesainiwa na wahisani walio pata zabuni hizo mapema hii leo katika ukumbi wa J.M.Kikwete wa Halmashauri ya Wilaya Longido kwalengo la kuhakikisha kukua kwa maendeleo vijijini.

       Wahisani walio saini Mikataba hiyo ni Deniko Construction Ltd ujenzi wa uzio Matale”A”58, kuunga na Engarenaibor220M kwa jumla ya Sh.53,498,126.00. SK building&Civil works LTD ujenzi wa mradi wa maji Kiserian na Orbomba kwa jumla ya Sh. 103,634,680.00. Tanchi Brothers construction co.Ltd ujenzi wa mradi wa maji Losirwa kwa jumla ya Sh.98,412,000.00 Pamoja na ukarabati wa sehemu ya kuogeshea nifugo Leran’gwa na ujenzi wa sehem ya kunywea mifugo maji Olmolog na Irkaswa kwa jumla ya Sh.37,185,163.  J.J Gwakisa Limited ujenzi wa miradi ya Maji Eorendekena Namanga kwa jumla ya Sh.80,236,460.00.

        Akizungumza kwenye kikao hicho marabaada ya kusaini  mikataba hiyo Mwenyekiti wa Halmashauri Mh.Sabore Mollaimet amesema kwa kua mikataba imechelewa na mda wakuanza kazi usha tolewa utekelezaji wa miradi unaanza mara kikao kuisha wanao hitaji kwenda kuonyeshwa sehemu za kazi wataenda na pia kwakua nia ni kufanya kazi basi tufanye kazi vizuri kwa mda na kwaubora sawa na dhamani ya fedha wanazo pewa.

        Mh.Sabore amemalizia kwa kuwataka kila mmoja asimame kwa nafasi yake kutekeleza majukumu yake,lazima Mkandarasi alipwe fedha yake kwa uhalali na lazima mkandarasi akabidhi kazi yake yenye viwango vinavyo takiwa kwa maana wakaguzi wata pita kukagua na kutoa taarifa pia ame washukuru wotewalio kamilisha Mchakato huu wa maendeleo ya Longido.

         Hatahivyo Kaimu Mkurugenzi  Bwana Dominiki  Ruhamvya amewataka wakandarasi kwenda kwa mda waliopewa  na  kufanya kazi kwa ufanisi wa hali ya juu ili kujenga jina kwa kampuni yao pia amewaambia fedha ipo barua ziandikwe ili kuhakikisha kila mtu ana chukua fedha yake ya awali.

          Aidha Mratibu wa Miradi ya wilaya Ally Msangi amesema hakuna haja ya kupoteza mda tena baada ya kusaini watu watakuwa kazini tayari kwa kwenda kuona maeneo ya kazi pia amesitiza ubora wa kazi na mda wa kukabidhi kazi.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10% January 30, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • DED LONGIDO AFUNGUA MAFUNZO UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA

    May 14, 2025
  • MITUNGI 50 YATOLEWA KWA BABA NA MAMA LISHE WILAYANI LONGIDO

    April 17, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA WATOA ELIMU KUHUSU MPOX KATIKA SHULE YA SEKONDARI ENGARENAIBOR NA KETUMBEINE

    March 21, 2025
  • WWF NA BBC MEDIA ACTION WATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA JAMII JUU YA UHIFADHI WA MAZINGIRA

    March 21, 2025
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM