• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu,Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijinii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Usafishaji na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Maliasili na Utalii
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Rasilimali Asili na Hifadhi ya Mazingira
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasili na uhifadhi wa mazingira
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Leseni
    • Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti UKIMWI
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WAHISANI WATATU KATI YA SABA WASAINI MKATABA WA ZABUNI YA UKUSANYAJI MAPATO-LONGIDO.

Posted on: September 25th, 2017

 Na Johnson Ismail

        Approved By Joseph Peter Mkumbwa  . ICTO

      Katika kuhakikisha maendeleo ya naongezeka kwa kasi wilayani longido juhudi zimeendelea

kufanyika ili kuhakikisha lengo/dhumuni  la mafanikio linafanikiwa kama linavyo piganiwa.

      Kikao cha kusaini mikataba ya Halmashauri kwa wazabuni mbalimbali walio pita vigezo stahiki kilifanyika mapema leo hii katika ukumbi wa Halmashauri wa J.M.Kikwete (w)Longido.

      Akizungumza kwenye mkutano huo Mkurugenzi Mtendaji,Wakili Jumaa Mhina amesema Halmashauri iko chini kimapato hivyo nilazima kuhakikisha mapato yanapatikana kwa wingi ili Halmashauri iweze kutekeleza miradi yake.

      Hata hivyo Wakili Jumaa Mhina ameendelea kusema wapo wakataji wa risiti wakiona wamesha fikisha kiwango kilicho wekwa na Halmashauri wanasitisha kutoa stakabadhi na fedha zinakuwa za kwao hali mkataba unaonyesha malipo ni asilimia 20% kwa makusanyo ya mwezi mzima,  “tukiwabaini tuta washughulikia ipasavyo” pia amewapongeza wote wanao fanya kazi kwa bidii.

      Zoezi la kusaini Mikataba hiyo liliendelea vizuri,Wahisani walio saini Mikataba hiyo leo ni Oakland Investment,Ndauka Investment  pamoja na Kionge&Alawi Enterprises. Wahisani wengine wane(4) waliomba kusaini kwamda mwingine ndani ya siku hizi 45 kwa kushindwa kufika kwenye kikao hicho kutokana na sababu zilizoko nje ya uwezo wao.

       Mkurugenzi Mtendaji Wakili Jumaa Mhina pamoja na Mwanasheria wa Halmashauri Bwana. Dominiki Ruhamvya Walimaliza kwa kusaini mikataba hiyo na kuwa taka kuwa waaminifu katika kazi ili kujenga Taifa letu “natumaini mtafanya kazi nzuri”alimalizia wakili Mhina.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    August 07, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WILAYANI LONGIDO WALA KIAPO CHA UADILIFU

    August 05, 2025
  • SHIRIKA LA MONDO TANZANIA LAKABIDHI MAGODORO 32 KWA WANANFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE YA MSINGI LONGIDO

    July 30, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • View All

Video

LONGIDO YASHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE YANAYOFANYIKA VIWANJA VYA THEMI - NJIRO ARUSHA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.