• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Makandarasi Wasaini Mikataba ya Zabuni Tano za Barabara Longido

Posted on: May 2nd, 2017

Mkurugenzi Mtendaji Wa Halmashauri ya Wilaya ya Longido amesaini na Makandarasi Zabuni Tano za Ujenzi wa Barabara za Halmashauri, Katika hafla hiyo iliyohudhuriwa na Wakuu wa Idara zote (CMT) jumla ya zabuni tano zilisainiwa ambazo zina thamani ya zaidi ya shilingi Milioni Mia Tano Themanini na Saba. Zabuni hizo zitahusisha Matengenezo ya kawaida (Routine Maintenance ), Matengenezo ya sehemu Korofi  (Spot Maintanence) na Matengenezo ya Gabion.

Katika Zabuni hizo Mkandarasi M/S Central Highway Contractors Ltd amesaini Lot 1 Zabuni ya Matengenezo ya Kawaida kwa Barabara ya Ketumbeine Junction-Gelai Lumbwa na Longido-Lesing'ita-Mairowa, matengenezo ya sehemu Korofi kwa Barabara za Lesing'ita-Mundarara na Matengezo ya Gabion kuzuia mmonyoko wa Udongo Eneo la Daraja la Mundarara.Thamani ya Mkataba ni shilingi 137,655,260/=

Pia Mkandarasi  M/S Laizer Works Ltd amesaini Lot 2 Zabuni  ya Ujenzi wa sehemu Korofi katika Barabara ya Mairowa-Sinonik na Matengezo ya Kalvati barabara ya Mairowa-Sininik. Thamani ya Mkataba ni shilingi 110,856,280/=

Wakati huo huo Mkandarasi  M/S Milkha Singh Jawala Singh amesaini Zabuni ya Mradi wa Matengenezo ya Muda Maalum katika Barbara ya Sinya-Elerai 5km Mkataba huo una thamani ya Shilingi 87,917,080/=.Katika lot Na 4

Kwa Upande wa  Mkandarasi M/S Ngulelo Supplies Service LTD amesaini Zabuni ya Mradi wa Matengenezo ya Muda Maalum katika Barbara ya Mairowa-Matale "A"- Emurtoto na ujenzi wa Kivuko (Solid Drift) barabara ya Matale"A"-Emurtoto. Mkataba huo una thamani ya Shilingi 160,927,338/= Katika Lot Na 3

Lakini pia Mkandarasi M/S Meero Contractors LTD naye ametia sahihi yake katika Zabuni ya mradi wa Ujenzi wa Mtaro wa Maji na Matengenezo sehemu Korofi barabara ya Longido Mjini. Mkataba huu una thamani ya shilinngi 90,160,083/- katika Lot namba 5

Katika tukio hilo la kipekee Mkurugenzi Mtendaji Wakili Jumaa Mhina amesisitiza kuwa ni vyema Makandarasi wakazingatia ubora na Muda wa Mikataba ili Matengenezo hayo yakamilike kwa wakati uliopangwa ili barabara hizo ziweze kutumika katika shughuli za wanachi za kuleta maendeleo katika Misimu yote ya Mwaka.

Imetolewa na Eng. H. Mshana

Imerushwa na Loth Zacharia & Joseph P Mkumbwa ICTOs

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10% January 30, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • DED LONGIDO AFUNGUA MAFUNZO UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA

    May 14, 2025
  • MITUNGI 50 YATOLEWA KWA BABA NA MAMA LISHE WILAYANI LONGIDO

    April 17, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA WATOA ELIMU KUHUSU MPOX KATIKA SHULE YA SEKONDARI ENGARENAIBOR NA KETUMBEINE

    March 21, 2025
  • WWF NA BBC MEDIA ACTION WATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA JAMII JUU YA UHIFADHI WA MAZINGIRA

    March 21, 2025
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM