• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu,Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijinii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Usafishaji na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Maliasili na Utalii
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Rasilimali Asili na Hifadhi ya Mazingira
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasili na uhifadhi wa mazingira
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Leseni
    • Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti UKIMWI
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WANANCHI WA LONGIDO WAMPONGEZA RAIS MAGUFULI

Posted on: March 25th, 2019

Mkuu wa Wilaya ya Longido Mh. Frank Mwaisumbe leo tarehe 25.03.2019 amesikiliza kero mbalimbali  za wananchi  katika mkutano uliofanyikaLongido mjini ,na kuudhuriwa na mamia ya wananchi waliokusanyika kumsikiliza na kutoa kero zao kwa Mkuu wao wa wilaya.Katika ziara hiyo ambayo imehudhuriwa pia na maofisa mbalimbali wa Halmsahauri ya Longido imeleta faraja kubwa kwananchi waliokuwa na hamu na shauku ya kutoa yaliyokuwa  mioyoni mwao .wananchi wameeleza kero zao mbele ya Mkuu  wa wilaya na wote wamepata ufafanuzi pamoja na mengine kutatuliwa hapo hapo,kero zilizotolewa na wananchi ni kama yafuatayo

1 . Madawa kukosekana kwenye vituo vya afya.Mganga mkuu wa wilaya ya longido  Dr.Justice Munisi amewaasa wanachi wajiunge na mifuko ya afya ili waweze kupata huduma za madawa kwani serikali inatuma dawa kulingana na idadi ya kaya zilizo jiandikisha na mifuko hiyo ya afya ambapo amesema ni kaya 700 tu ndio zilizojiandikisha kwenye  mifuko ya afya kati ya kaya 4000 za Wilaya ya Longido kwa namna hiyo ni ngumu serikali kujua mahitaji ya dawa kwa wananchi.

2 Kero ya passport za kusafiria . Wananchi wamelalamikia kuwa bei ghali inayo gharimu Tsh 30,000.katika swala hili la passport afisa uhamiaji amewaeleza wanachi kuwa hiyo sio passport bali ni hati ya dharura ambayo ni kwa muda mfupi tuu na kuwataka wanachi wanunue passport ambayo ni shilling laki moja na nusu na itadumu kwa miaka 10.Akijibu kero hii kwa wanachi mkuu wa wilaya amewaasa wananchi wanunue passport ya kusafiria inayouzwa kwa shilingi za Tanzania laki moja na nusu na itadumu kwa muda wa miaka 10 bila kusumbuliwa na mtu yeyote,” badala ya kununua passport ya shilingi elfu 30 ambayo ukisafiri mara kumi na laki 3 ni bora ununue passport ya laki na nusu ambayo utaitumia kwa miaka 10” amesema Mh Mkuu wa wilaya.

3.Kero ya Barabara za ndani ya mji .pia imetolewa ufafanuzi na ofisi wa TARURA ambapo amesema  muda siyo mrefu wilaya ya longido ndani ya mji wa longido kutakua na barabara za lami katika mitaa kadhaa ambayo sawa na kilomita 5 ndani ya miaka hii miwili iliyobaki ya rais Magufuli.

4. Kero ya maji pia limezungumziwa na wananchi wamefurahi na kushukuru serikali hii tukufu ya rais MAGUFULI LA kuleta shilingi billion 15.8 kwa ajili ya maji wilayani Longido ,Mh rais wetu JOHN  POMBE MAGUFULI  tunakushukuru sana  kwa maji na muda si mrefu Longido itakuwa kijani/ Green

5.Ardhi ,Migogoro ya ardhi wilayani lomngido imekwisha na mengine yanakaribia kumalizika kabisa ,Mheshimiwa mkuu wetu wa wilaya Frank MWAISUMBE kamwagiza afisa ardhi wilayani kuahakikisha migogoro modogo midogo ya viwanja vya wananchi  vimemalizika kabisa.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    August 07, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WILAYANI LONGIDO WALA KIAPO CHA UADILIFU

    August 05, 2025
  • SHIRIKA LA MONDO TANZANIA LAKABIDHI MAGODORO 32 KWA WANANFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE YA MSINGI LONGIDO

    July 30, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • View All

Video

LONGIDO YASHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE YANAYOFANYIKA VIWANJA VYA THEMI - NJIRO ARUSHA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.