• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu,Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijinii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Usafishaji na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Maliasili na Utalii
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Rasilimali Asili na Hifadhi ya Mazingira
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasili na uhifadhi wa mazingira
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Leseni
    • Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti UKIMWI
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WATOTO WAPATIWA DAWA ZA KUTHIBITI MINYOO YA TUMBO

Posted on: November 24th, 2022

Halmasahauri ya wailaya ya Longido  Leo tarehe 24/11/2022  imetekeleza agizo la Serikali ya awamu ya sita la  kuwataka watoto wote kaunzia miaka mitano hadi kumi na nne wanapewa dawa aina ya Albendazole kwa ajili ya kuzuia minyoo ya tumbo amabayo imekuwa tishio kwa watoto wengi nchini Mkurugenzi wa halamsahauri ya wilaya  ya Longido ndugu Stephen Ulaya alifungua mafunzo ya utekelezaji wa zoezi hilo mnao tarehe 23 Novemba  kwenye ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Longido na baadae zoezi la utekelezaji wa ugawaji wa dawa za kudhibiti minyoo kufanyika katika shule zote za msingi zilizopo ndani ya Halmashauri ya wilaya ya Longido ambako takribani watoto wote wenye umri kuanzi miaka mitano hadi kumi na nne wamepatiwa dawa hizo ili kuzuia magonjwa yote yanayotokana na minyoo ya tumbo

  Zoezi hili ambalo limekuwa likifanyika mara kwa mara likiwa limelenga hasa kuondoa na kuthibiti magonjwa mbali mbali yanayotokana na minyoo ya tumbo ambayo yamekuwa yakileta madhara makubwa hasa kwa ukuaji wa mtoto pamoja na kumfanya mtoto kupoteza hamu ya kula kupungua uzito hususani na kuvimba sehem mbali mbali ya mwili hususani tumbo baadae kupelekea hata magonjwa ya ini na mengineyo

  Nae Dr Selemani Mtenjela mkuu wa kitengo cha Afya, Lishe na Ustawi wa jamii amewaomba wazazi kutokuwa na imani potofu juu ya dawa hizo na kuwataka wazazi wawaruhusu watoto kupewa dawa hizo kwa ajili ya kuimarisha Afya zao, Dr Selemani amesema dawa hizi ni salama na ni maalumu kwa ajili ya kuthibiti magonjwa yatokanayo ma minyoo ya tumbo

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    August 07, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WILAYANI LONGIDO WALA KIAPO CHA UADILIFU

    August 05, 2025
  • SHIRIKA LA MONDO TANZANIA LAKABIDHI MAGODORO 32 KWA WANANFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE YA MSINGI LONGIDO

    July 30, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • View All

Video

LONGIDO YASHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE YANAYOFANYIKA VIWANJA VYA THEMI - NJIRO ARUSHA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.