• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu ya Awali na Msingi
      • Elimu sekondari
      • Miundombinu, Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mjjini
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Utawala na Usimamizi wa Rasimamli Watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Huduma za Afya, Lishe na Ustawi wa Jamii
    • Kitengo
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Maliasili na Uhifadhi wa Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • TEHAMA
      • Mawasiliano Serikalini
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
  • Fursa Za Uwekezaji
    • Utalii
    • Vivutio vya Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Mifugo
    • Huduma za Uvuvi
    • Huduma za Leseni
    • Huduma za Utalii
    • Huduma za Mapato
    • Huduma zetu Afya
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati ya Maadili ya Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Fomu Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Barua pepe za Idara na Vitengo
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
    • Kituo cha habari
      • Maktaba ya Picha
      • Video za Shughuli za Ofisi au Kitaifa
  • Vivutio
    • Mbuga
    • Ziwa

WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA LONGIDO KUSOMESHWA CHUONI NA CCM.

Posted on: February 15th, 2019

Katibu wa itikadi na uenezi wa chama Tawala CCM Ndugu Hamphrey Polepole,amefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa ilani ya chama cha mapinduzi ,katika halmashauri ya wilaya ya Longido.Katika ziara hiyo ndugu Polepole ametembelea kisima cha mradi mkubwa wa maji wenye uwezo wa kubeba zaidi ya lita laki nne za maji.Mradi huo unatarajiwa kukamilika ndani ya wiki mbili. hivyo Mh Polepole amemtaka Mkuu wa wiliya pamoja na wa viongozi wa chama kuutembelea mradi huo baada ya wiki mbili ilikuweza kuwaondolea wananchi tatizo hilo kubwa linaloendelea kuwakabili.

Pia mh Polepole ameweza kutembelea shule ya sekondari Longido na kujionea mradi wa ujenzi wa madarasa mawili yanayojengwa kwa nguvu ya michango ya wananchi wa wilaya ambapo amefurahisha na juhudi hizo na kumwomba mkandarasi ajitahidi kuukamilisha ndani ya wakati hili kuweza kuwaondolea wa wanafunzi hao shida hiyo.ujenzi huo unatarajiwa kukamilika mwanzo wa mwezi wa tatu.

Pia Mh polepole alipata fursa ya kuonana na mkuu wa shule hiyo ndugu Daniel Temu na kupewa taarifa fupi ya maendeleo ya wanafunzi ambapo alipendezwa na juhudi zinazofanywa na Walimu kuakisha wanafunzi wanafaulu. Aidha ametoa ahadi ya Mh: rais John Pombe Magufuli ambaye ni mwenyekiti wa chama cha mapinduzi kwamba kwa wanafunzi wote wa kidato cha sita watakaopata daraja la kwanza na la pili kwenye mtihani wao wakitaifa watasomeshwa chuo bure pamoja na gharama zote zikifanywa na chama kama motisha kwa wanafunzi kufanya vizuri.

Mh.Pole pole pia ametembelea daraja la korongo la wazee na kumtaka mkandarasi kukamilisha ujenzi kwa wakati, lakini pia ametembelea Ujenzi wa kituo cha afya Eworendeke na solo la kimkakati la mifugo la Eworendeke .

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO September 04, 2025
  • View All

Habari Mpya

  • VIONGOZI WA DINI WILAYA YA LONGIDO WATOA TAMKO JUU YA UCHAGUZI MKUU WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI

    October 23, 2025
  • WANAFUNZI 5,188 KUFANYA UPIMAJI WA KITAIFA DARASA LA NNE LONGIDO

    October 21, 2025
  • WWF YADHAMIRIA KUREJESHA MAZINGIRA ASILIA YA LONGIDO

    October 20, 2025
  • MATUKIO KATIKA PICHA SIKU YA PILI YA MAFUNZO YA WWF KWA VIONGOZI WA DINI, VIJIJI NA VIONGOZI WA KIMILA KUHUSU UHIFADHI WA MAZINGIRA LONGIDO

    October 16, 2025
  • View All

Video

KAMATI YA AMANI NA HAKI WILAYANI LONGIDO YATOA TAMKO LA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.