• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu,Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijinii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Usafishaji na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Maliasili na Utalii
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Rasilimali Asili na Hifadhi ya Mazingira
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasili na uhifadhi wa mazingira
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Leseni
    • Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti UKIMWI
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Zoezi la kupiga chapa mifugo laanza kwa kishindo

Posted on: January 4th, 2018

ya wilaya ya longido mkoani  Arusha imezindua zoezi kupiga chapa ng'ombe leo tarehe 05/01/2018 katika kata ya Orbomba  wilayani longido.


Akizungumza na wananchi  wa kata ya orbomba  mkuu wa wilaya ya longido ndg.Daniel G.Chongolo amesema  sababu za kuchapa ng'ombe hao ni kuepukana na usumbufu wa ng'ombe kutoka nje ya nchi kuingia nchini bila ruhusa,kujulikana kwa idadi ya mifugo hao ndani ya nchi,kuepuka/kurahisisha matibabu kwa ngombe pindi wanapougua magonjwa ,ubora wa mifugo hao kulinganisha na sehemu  zingine.


Pia daktari wa mifugo ndg.Safan Kagoma amewasisitiza wananchi hao kuwa kwa yeyote  ambaye hatajitokeza /kushirikiana kwa kuficha ng'ombe  au kukwamisha zoezi hilo  atakapogundulika atachukuliwa hatua za kisheria ,hivyo basi ni wajibu wa kila mmoja kutoa ng'ombe wake wote na kuwekwa chapa.


Kwa upande wake diwani wa kata ya Orbomba ndg.Motika Kasosi amefurahia  zoezi  hilo kuzindiliwa katika kata yake kwani kwa kushirikiana na viongozi wa vijiji  wamewaelimisha wananchi hao  kuhusiana na zoezi zima la uchapaji ng'ombe na hatimaye    kuitikia  kwa kukubaliana nalo.


Vilevile wameeleza changamoto walizokumbana nazo ni kuwa  baadhi ya walengwa hao wamewahamisha mifugo yao kutokana na hali ya ukame  hivyo kuwa na mifugo chache napia wengine kuwa na mashaka kuwa pindi watakapowatoa mifugo yao kuwekwa chapa watakuja kudaiwa kodi.


Hivyo basi ni imani yao viongozi hao kuwa itakapofikia tarehe 22/01/2018 zoezi hilo litakuwa limekamilika  kwani ni agizo kutoka kwa Rais Dr.John Pombe Magufuli  huku wakiendana na kauli ya hapa  kazi tu ya serikali  ya awamu ya tano.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    August 07, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WILAYANI LONGIDO WALA KIAPO CHA UADILIFU

    August 05, 2025
  • SHIRIKA LA MONDO TANZANIA LAKABIDHI MAGODORO 32 KWA WANANFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE YA MSINGI LONGIDO

    July 30, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • View All

Video

LONGIDO YASHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE YANAYOFANYIKA VIWANJA VYA THEMI - NJIRO ARUSHA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.