• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Uhasibu
      • Mipango na Uratibu
      • Huduma za Afya, Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Miundombinu,Mipango ya Maendeleo ya Vijijini na Mijinii
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Mifugo na Uvuvi
      • Usafishaji na Mazingira
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Huduma za Kisheria
      • Usimamizi wa Ununuzi
      • Uchaguzi
      • Maliasili na Utalii
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
      • Mawasiliano Serikalini
      • Rasilimali Asili na Hifadhi ya Mazingira
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Ufuatiliaji na Tathmini
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Maliasili na uhifadhi wa mazingira
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Leseni
    • Mapato
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,Afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti UKIMWI
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango Mkakakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

ZOEZI LA UGAWAJI WA VISHKWAMBI PAMOJA NA UJAZAJI WA MKATABA KWA WALIMU LAADHIMISHWA RASMI LONGIDO

Posted on: January 13th, 2023


Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Longido ndugu Stephen A. Ulaya leo tarehe 13 Januari 2023 ameongoza zoezi la ugawaji wa vishkwambi kwa maafisa elimu kata,wakuu wa shule za msingi na Sekondari katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Longido

Aidha akikabidhi vishkwambi hivyo kwa watumishi hao Mgeni rasmi ambaye ni Katibu Tawala Wilaya ya Longido ndugu Khamana Simba amewaasa watumishi kuvitunza vishikwambi hivyo pamoja na kuvitumia kwa namna bora kwani kwa kufanya hivyo vitawasaidia sana katika dhana nzima ya kujifunza na kujifunzia  na kuongeza tija na ufaulu wa wanafunzi kwani kwa kutumia vishkwambi hivi tofauti na kurahisisha mawasiliano kidijatali pia vitawasaidia kupata miongozo mbali mbali ya elimu.

Aidha ndugu Khamana Simba ameishukuru Serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wake mama Samia Suluhu Hassan kwa kuona ipo haja ya kurudisha vishkwambi hivyo  mashuleni ikiwa na lengo la kuboresha elimu kwa njia ya mtandao.

Pamoja na zoezi hilo ndugu Khamana Simba ameongoza zoezi la usainishwaji wa mkataba kwa walimu wa shule za msingi, sekondari pamoja na Maafisa Elimu kata, mkataba huo ukiwa na malengo mahususi matatu ikiwemo kuhakikisha wanafunzi hususani wa shule za msingi wanajua vema kusoma, kuhesabu, na kuandika wafikapo darasa la tatu ili upunguza wimbi la watoto wasio jua kusoma kuandika na kuhesabu pia kuongeza ufaulu kwa wanafunzi na kuweka mkazo katika  kujifunza kingereza Kuanzia darasa la tatu na kuendelea, pia kila mwalimu kujiwekea mikakati iliyo thabiti na malengo binafsi ya kupandisha ufaulu yaani daraja A, B, C na kuondokana kabisa na daraja F

Nae Afisa Elimu Msingi mwalimu Deusdedit Bimbalilwa Kwa niaba ya walimu ameishukuru Serikali  kwa kuona sababu ya kuchagua idara ya Elimu kwenye ugawaji wa vishkwambi na ameahidi kuvitunza kama miongozo inavyosema. 

'Ndugu walimu tutumie vishkwambi hivi kwa umakini na kuvitunza "alisema mwalimu Gilbert Sombe Afisa Elimu Sekondari wilaya ya Longido.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA June 13, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LONGIDO YAADHIMISHA WIKI YA UNYONYESHAJI KWA MAFANIKIO MAKUBWA

    August 07, 2025
  • WASIMAMIZI WA UCHAGUZI NGAZI YA KATA WILAYANI LONGIDO WALA KIAPO CHA UADILIFU

    August 05, 2025
  • SHIRIKA LA MONDO TANZANIA LAKABIDHI MAGODORO 32 KWA WANANFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUMU SHULE YA MSINGI LONGIDO

    July 30, 2025
  • LONGIDO YANG'ARA KITAIFA YAPATA TUZO YA UFAULU KIDATO CHA PILI

    July 11, 2025
  • View All

Video

LONGIDO YASHIRIKI KIKAMILIFU KWENYE MAONESHO YA NANE NANE YANAYOFANYIKA VIWANJA VYA THEMI - NJIRO ARUSHA
More Videos

Kurasa za Karibu

  • ESS-Watumishi Portal
  • Staff Email

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved.