Posted on: December 4th, 2024
Na Happiness Nselu
Katika hatua muhimu kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Halmashauri ya Wilaya ya Longido imeandaa mafunzo ya siku mbili kwa wasimamizi wa uandikishaji wa ngazi ya kata...
Posted on: December 3rd, 2024
Wilaya ya Longido imepiga hatua kubwa katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo chini ya uongozi wa Mbunge wake, Steven Kiruswa, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mbunge huyu, kwa kushirik...
Posted on: December 2nd, 2024
Na Happiness Nselu
Longido, Arusha - Viongozi wapya wa serikali za mitaa katika Wilaya ya Longido wameapishwa rasmi leo katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ...