• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maulizo |
    • Barua pepe |
Longido District Council
Longido District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Longido

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Maendeleo ya jamii
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Maji
      • Afya
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Usafishaji na Mazingira
    • Vitengo
      • Sheria
        • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Teknolojia ya habari, mawasiliano na uhusiano
      • Ukaguzi wa ndani
    • Kata
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Wadau wa Maendeleo
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya waheshimiwa madiwani
    • Kamati za kudumu za halmashauri
      • Utawala Fedha na Mipango
      • Elimu ,afya na Maji
      • Kamati ya kuthibiti Ukimwi
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili ya madiwani
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • miradi iliyokamilishwa
  • Machapisho
    • sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • mpango mkakakati
    • Riport mbalimbali
    • Form mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

UCHAGUZI WA MBUNGE JIMBO LA LONGIDO TAREHE 13/01/2018

12 January 2018

Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Longido  Ndg Jumaa Mhina  anawatangazia wananchi wote wa Jimbo la Longido  na wenye sifa ya kupiga Kura kujitokeza kwa wingi kesho siku ya Jumamosi tarehe 13.01. 2018 kwenda kupiga kura ya kumchagua  Mbunge wa jimbo lao


Vituo vya kupigia kura vitafungulia kuanzia saa 01:00 asubuhi na kufungwa saa 10:00 jioni hivyo wapiga kura wanatakiwa kutumia muda huo uliopangwa.

Uchaguzi utafanyika katika vituo vya kupigia kura vilivyotumika katika Uchaguzi mkuu was Raisi, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2015.

Aidha anawataka wananchi hao kupiga kura kwa amani na utulivu na baada ya kupiga kura kuondoka kwenye kituo na kuendelea na shughuli nyingine.

Siku ya hiyo ya Uchaguzi in lazima mpiga kura afike kituoni na kadi yake ya mpiga kura na kama amepoteza kadi hiyo ataruhusiwa kupiga kura akiwa na leseni ya udereva,au hati ya kusafiria au kitambulisho cha uraia kilichotolewa na mamlaka ya vitambulisho vya Taiga (NIDA) kwa sharti LA majina yake kuwa katika mtiririko sawa na kwenye daftari LA wapiga kura na picha yake kufanana.

Pia  hairuhusiwi kubaki kwenye kituo cha kupigia kura mara baada ya kupiga kura, kukaa kwenye mikusanyiko ya vikundi vikundi,  kuvaa nguo inayoashiria rangi ya Chama chochote wala kufanya kampeni ya kushawishi mtu kumchagua mgombea fulani.

Msimamizi wa Uchaguzi amewahakikishia wananchi wote wa Longido kuwa  hali ya Ulinzi na Usalama imeandaliwa vizuri kuhakikisha zoezi hilo linafanyika na kukamilika kwa amani na utulivu.
Wana  Longido  tumia haki yako ya kuchagua  Mbunge kwa maendeleo ya Longido.

 'TANGAZO LA UCHAGUZI.docx'


Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA 10% January 30, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI June 09, 2023
  • Uchaguzi wa kidato Cha tano 2023 June 11, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI June 24, 2023
  • View All

Habari Mpya

  • DED LONGIDO AFUNGUA MAFUNZO UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA

    May 14, 2025
  • MITUNGI 50 YATOLEWA KWA BABA NA MAMA LISHE WILAYANI LONGIDO

    April 17, 2025
  • WATAALAMU WA AFYA WATOA ELIMU KUHUSU MPOX KATIKA SHULE YA SEKONDARI ENGARENAIBOR NA KETUMBEINE

    March 21, 2025
  • WWF NA BBC MEDIA ACTION WATOA MAFUNZO KWA VIONGOZI WA JAMII JUU YA UHIFADHI WA MAZINGIRA

    March 21, 2025
  • View All

Video

Ujenzi wa madarasa 4 na Ofisi ya walimu shule shikizi Lopoloseki,
More Videos

Kurasa za Karibu

  • Ufugaji
  • Elimu msingi Primary Education

Kurasa za zinazoshabihiana

  • Tovuti kuu ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ajira
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Mkoa wa Arusha

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Wasiliana nasi

    Arusha- Namanga Road, Longido Town

    Postal Address: S.L.P 84 Longido Arusha

    Telephone: 027-2539603

    Mobile: 0756395889

    Email: ded@longidodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Maulizo
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Copyright ©2016 Longido DC . All rights reserved. Designed by Loth Zacharia & Joseph Peter Mkumbwa Sponsored by GWF TAMISEM